Shamba/plots zinauzwa kwa bei poa kabisa

Shamba/plots zinauzwa kwa bei poa kabisa

mkush

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2011
Posts
214
Reaction score
163
Shamba lenye ukubwa wa ekari 200 lililopo bagamoyo kijiji cha kidomole likiwa limepakana na barabara ya kwenda msata linauzwa.bei ya kila ekari ni 450,000,unaweza kununua ekari zozote uzitakazo.eneo linafaa kwa makazi na uwekezaji wa aina yoyote ule.lingine lipo kisarawe kijiji cha sungwi lina ukubwa wa ekari 180.
NB;UTAPIMIWA(CADASTRAL SURVEY) KIWANJA CHAKO MARA TU UTAKAPONUNUA
MAWASILIANO;0717478822
imwanitu70@yahoo.com
 
Back
Top Bottom