Ipad Ipad

Ipad Ipad

Mkuu tuelimishe ipad hizo (1,2,3 au mini0 tofauti zake ni zipi. Wengine tunajua kutaja ipad tu basi.
 
Ikiwa iPad 1 , 2 , 3 capacity yoyote tu. Samsung Galaxy tab aina yoyote
iPad ipi? 1,2, 3 au mini? Capacity? 16bg? 32gb? 64gb? Samsung Galaxy Tab ipi? Maana kuna zingine kama p1000 za zamani sana, au Samsung Galaxy Note 10.1?
 
Used au new ???wifi au 3g ??leta ripoti mkuu..3g 16gb used $410 na mpya 3g 16gb ni $660 kama upo interested tuwasiliane
 
Back
Top Bottom