CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,304
- 12,998
Habari za asubuhi wadau...
Hivi rangi za magari huwa zina matter katika.ununuzi wa magari?? Make naona kuna watu huwa wanauliza "Ina rangi gani?"
Nini faida na hasara za rangi tofauti tofauti kwa magari.
Asanteni