URGENT: LOOKING FOR FINANCE Tshs 400 mln | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

URGENT: LOOKING FOR FINANCE Tshs 400 mln

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Risk vs Return, Apr 23, 2012.

 1. R

  Risk vs Return Member

  #1
  Apr 23, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 98
  Likes Received: 54
  Trophy Points: 25
  URGENT: LOOKING FOR FINANCE Tshs 400 mln
  Introduction;
  We are registered Company about 20 yrs now as limited in liability,
  The company wealth is more than 2 billion it has 100% equity mean there is no debt financing and the company has never been financed by debt since then.
  Current asset 40% and Fixed asset is 60% (most are Premises),Current liabilities is less than 1%(suppliers, creditors) of total asset or 3% of working capital,
  We deals with trading Business, buying and selling manufactured products more than 15 yrs of experience,
  Management;
  One of director who is a managing director has Bachelor Degree in commerce and other expertise, with a lot of experiences in business,
  Three department managers, and about 40 subordinates,
  Financials;
  Sales turnover is more than 2.5 billion,
  As per turn we have a good Cash flows,
  Purpose of that Finance;
  We want to invest in a new project, after making a research that gave a good result, the project is viable.
  Strategies taken;
  We have applied to our bankers but not very serious,
  We can consider any other kind of equity finance business partnership like join Venture, Capital Venture, Bond, Preference Share, Common Share etc.
  Challenges In Financing Institution In Tanzania;
  High Interest Rate, No Customer Care, Win Loser Business situation, Delaying,
  Environment not conducive, Corruption, Bureaucracy, Hard and a lot of condition.
  But we expect to get any bank that is willing to are welcome just get contact us.
  WHY THIS ADVERTISEMENT ?
  It Is urgent, we can reach more people at the same time, It Is cheap,
  WHO WE TARGET ?
  Any Individual interested to invest to us we are sure will gain,
  Any Institution That Is able to assist us,
  Any One with a surplus Money this is the right opportunity that you can invest.

  For any information/question please send PM
   
 2. L

  LAT JF-Expert Member

  #2
  Apr 23, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  kwa kweli kukopa nchi hii ni shida sana ... yaani hata uwe na security (collateral) bado utasumbuliwa tuu .. sijui tufanyeje wajameni ... masharti ya kukatisha tamaa hata kabla huja apply
   
 3. Asante

  Asante JF-Expert Member

  #3
  Apr 23, 2012
  Joined: Dec 18, 2009
  Messages: 1,963
  Likes Received: 298
  Trophy Points: 180
  Kwa maelezo yako kampuni yako inakopesheka bila matatizo, kwa muda wa miaka 20 mkiwa kwenye biashara na cash flows yenu iko imara sababu za kutoitumia benki yenu hazina uzito lazima kuna tatizo mahali.

   
 4. M

  Mbwambo JF-Expert Member

  #4
  Apr 24, 2012
  Joined: Nov 25, 2008
  Messages: 626
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 33
  Samahani mimi sijaelewa kidogo je compay yenu inataka kupata watu /institution ambazo zinaweza kuwapa hela au mnataka kukopesha watu binafsi?
  Samahani labda uelewa wangu wa kizungu sio mzuri sana
  fafanua je unataka watu wawapatie pesa au mnataka kuingia ubia na watu au company mbali mbali?
   
 5. Jay One

  Jay One JF-Expert Member

  #5
  Apr 24, 2012
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 11,080
  Likes Received: 4,663
  Trophy Points: 280
  Mods wezi hawa.... close this thread quickly...
  Kampuni gani haina jina..!!??? ina assets worth Tshs. 2 billion isikopesheke???? Na nilipojua wezi eti hawajawahi kukopa since it was started...!!???


  Wezi hawa.... Watch out....
   
 6. Boniface Evarist

  Boniface Evarist JF-Expert Member

  #6
  Apr 24, 2012
  Joined: Nov 26, 2010
  Messages: 1,100
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  mjini shule nenda kichwa kichwa.
   
 7. R

  Risk vs Return Member

  #7
  Apr 24, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 98
  Likes Received: 54
  Trophy Points: 25
  Very Sorry kama hatujeleweka, na wala hakuna wezi hapa, Sisi tunahitaji pesa hizo mln 400, (HATUKOPESHI) kwa namna yeyote ile kati ya hizo tulizotaza.
  1. kukopa toka kwa mtu binafsi atakaye hitaji kulipwa riba ?
  2. kukopa toka kwa Bank, Mashirika tofauti na bank, kwa masharti nafuu.
  3. Kuingia ubia na mtu au shirika kwenye hiyo miradi tu tunayotaka kuwekeza hizo pesa (Join Venture).
  4. Mtu binafsi au shirika kwa makubaliano ya kununua Hisa za kampuni nzima na kuwa mwanahisa(mumiliki mmojawapo)
  Ni kweli kabisa kwamba kampuni haijawahi kuchukuwa mkopo tangu ianze biashara nadhani sio ajabu...

  Kwa swala la uwazi tuko wazi sana endapo tutapata mtu alie na interest au serious tutampa taarifa zote atakazo hitaji KWANI INAJULIKANA WAZI KUWA TAARIFA ZA KIBIASHARA NI SIRI LAZIMA KUHIFADHI HESHIMA YA KAMPUNI NA WADAU WAKE WOTE. NASIKITIKA KWA USUMBUFU.
   
 8. Ibrahim K. Chiki

  Ibrahim K. Chiki Verified User

  #8
  Mar 10, 2013
  Joined: Apr 5, 2011
  Messages: 594
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  plz giv me a call at 0756 51 75 88 ama 0652 59 05 19. anytime
   
Loading...