Old Member (Retired)
JF-Expert Member
- Sep 29, 2012
- 3,401
- 1,618
Ipo katika hali nzuri sana, ina miezi mitano toka imetoka marekani. Kwa habari zaidi ni PM

FRANCIS MUKANDALA ndio Lisa heke??Ipo katika hali nzuri sana, ina miezi mitano toka imetoka marekani. Kwa habari zaidi ni PM
NeW MODEL INAUZWA MiLIONI 45
Biashara matangazo, na ukweli, na uongo na kuwafanya wenzio ma abunuasi.
Chuma cha mwaka 2004, which really means kwa Marekani imetengenezwa 2003, leo 2013, karne nzimaaa sijui dikedi...yani hata by law TRA wanai classify kama "chuma chakavu" with import tariff penalty!
Halafu unaambiwa "sampuli mpya!" Ina maana Range Rover wamekaa miaka kumi hawajatoa sampuli ingine, ya mwisho ya kwako, 2004!
Haya, sampuli mpya sampuli gani, itaje, hutaki, unaogopa. Unauza Range Rover unaandika tangazo utafikiri unauza hanger za mashati Morocco mataa!!
Na kutengenezwa Marekani sio selling point, I mean, hiyo gari suka anakaa kushoto, ukitaka ku overtake huoni mbele, barabara ya Dar - Mwanza ku overtake lazima, inabidi njia nzima umuulize passenger wako "kuna gari huko?" au ukiwa mwenyewe inabidi utoe pua kulia kidogo ku assess mazingira halafu uwahi kuirudisha kwenye site, ukipoteza stepu sekunde mbili tu hujauona m-basi wa YUTONG unakuja mbele huko una break pads za China una chassis la lorry ndugu yangu Range linageuzwa chapati ya kumimina hapo hapo! Hiyo Milioni 45 ikate nusu labda. Tena labda!