ni wapi nitapata covers za lg optimus black?

ni wapi nitapata covers za lg optimus black?

snagnax

Member
Joined
Apr 22, 2012
Posts
49
Reaction score
9
inakuaje wakuu,nimekuwa na simu yngu aina ya lg bt nashndwa kupata cover na screen protector yake naombeni msaada wenu
 
inakuaje wakuu,nimekuwa na simu yngu aina ya lg bt nashndwa kupata cover na screen protector yake naombeni msaada wenu

Mkuu unazo nyingi? mimi nahitaji lg optimus L9 p760 kama utakua nayo! au waweza ni-direct wapi naweza pata hiyo simu. naipenda sana.
 
Back
Top Bottom