Baby Stuff

Baby Stuff

Karucee

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2012
Posts
18,196
Reaction score
34,502
Hello guys!!
Naomba msaada wa kuelezwa wapi nitapata vifaa vya baby vyote under the same roof kwa hapa Dar es Salaam. Kuanzia swings, strollers.... Toys za maana... Please. And at a good price too. Asanteni.
 
Nenda Mlimani City, kuna duka linaitwa Baby Shop, linatazamana na mlango wa kuingia Game Store.

Pia Kariakoo ule mtaa baada ya kituo cha Polisi Msimbazi. Jina la mtaa limenitoka. Lakini ni ule mtaa ulio kati ya kituo hicho cha polisi na kituo cha mafuta. Kwenye mtaa huo, kuna maduka ya vitu vya watoto mengi sana. Mwisho wa mtaa kuna duka linaitwa Singha, nalo lina vitu vya watoto.

Kila la heri.
 
apart from baby shop ya mlimani city; kuna nyingine ipo pale kwenye grounds zenye nyumbani lounge kwa jaydee. unaingilia hapo best bite, ukipita virago tu mbele kiduchu. game store pia kuna baby stuff nyingi pia games pia.
usinunue laptop ntaleta mie.
 
shoppers plaza pia first floor kuna maduka mawili nadhani. that side yenye spa.
 
thanks Nzi 😀. Lol. Hapo Singha sounds familiar..... Baby Shop sijaenda karibuni. Nilienda walipofungua tu. Itabidi niende nikacheki wame upgrade vipi.
 
apart from baby shop ya mlimani city; kuna nyingine ipo pale kwenye grounds zenye nyumbani lounge kwa jaydee. unaingilia hapo best bite, ukipita virago tu mbele kiduchu. game store pia kuna baby stuff nyingi pia games pia.
usinunue laptop ntaleta mie.

asante King'asti. Am so eager kuset up room yake. Ntaenda kesho God willing, I really need an electric train among other things.
 
shoppers plaza pia first floor kuna maduka mawili nadhani. that side yenye spa.

huku pia nitaenda ku check out stuff. Sundays pako wazi? Hahaha. TIA for the laptop. Sweet of you.
 
Back
Top Bottom