Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Waungwana, Natafuta MSOMI, aliye ndani ya nchi - Tanzania - anayejua Kifaransa, KINAGA UBAGA. Kuna kazi ya kufanya translation, highly technical document, kutoka Kiingereza kwenda Kifaransa...
0 Reactions
2 Replies
986 Views
Nina dada angu amemaliza kidato cha nne amepata 4 ya 26 anampango wa kwenda tech anataka electrical and biomedical engineering aende ipi jaman
0 Reactions
3 Replies
1K Views
NIKON D40 SLR 6.1 megapixel ,na NIKON D50 SLR 10 megapixel na Panasonic lumix pia ipo NEC PROJECTOR bulb yake ina masaa marefu complete ZOTE ZIPO DAR .bei maelewano piga simu 07112652110 ,
0 Reactions
1 Replies
888 Views
Wakuu habari! Nna xbox 360 inatatizo la hardware obviously mana ile ring inawaka rangi ya red... Sasa kama kuna mtu anajua how to fix it anambie ama kama kuna fundi lkn kwa instant service pia...
0 Reactions
0 Replies
684 Views
zamani ofisi zao zilikuwa samora karibu na stesheni, leo nimeenda nimekuta wamehama. mwenye kufahamu walipo hamia tafadhali anijulishe.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Hi WANA JAMVI Jamani naomba kuuliza hii nokia Lumia 900 inatembea bei gani dukani kwa sasa ?? au kama kuna mtu anayo used !!!
0 Reactions
2 Replies
1K Views
habarin wana Jf. nina gari yangu Chaser avante gx100. manufacture year 2000. reg: T.....BDU engine 1G vvti. cd.dvd.TV player & Navigator. Imported in 2010. Ipo katika hal nzuri.ipo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ili uweze kupata wallpaper game simbian game photo image editor image chef na mengine mengi bofya HAPA
0 Reactions
1 Replies
849 Views
1. Shamba la ekari 20 linauzwa lipo visegese kisarawe- ni km 7 toka kisarawe mjini. Bei ni Mil 15 kwa hizo ekari 20. Kuna mto unapita shambani panafaa pia kwa kilimo cha umwagiliaji. 2. Pia kuna...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari za weekend poleni na majukumu, natafuta mtu wa kufanya nae biashara ya hoteli karibu na stend mpya ya mabasi yaendayo mkoani kwa aliyetayari aniandikie kwa email kyelilucas@yahoo.com
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Naitaji dry water meters aina ya Kmei.Ziwe za plastic. Kama unazo dry water meters aina tofaouti pia,naomaba tuwasiliaane naitaji pcs 200.
0 Reactions
2 Replies
6K Views
Habari ndugu wana JF, napenda kuwataarifu ndugu zangu hpa jirani yangu kuna nyumba nzima yenye vyumba 5 parking ya gari ndani kodi ni laki sita kwa mwezi. ipo magomeni moroco hotel karibu na...
0 Reactions
1 Replies
811 Views
Wakuu naitaji iphone 3gs yenye hali mzuri mtu yyte mwenye nayo please anipm tufanye biashara
0 Reactions
1 Replies
760 Views
Noah ya mwaka 2000 vibali vyote vimelipwa bado bima ( inasurance) imetembea km 125,000 inapatikana kinondoni 0657 145555 au 0772 00 8866 ina A/c cd player n.k bado nashughurikia vibao vya namba.
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Salut Natafuta kiwanja Tegeta ukubwa at least 70*70 budget 30M! kiwe na hati.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari wana JF! Kuna nyumba inapangishwa jijini Arusha. Nyumba hiyo ni mpya kabisa, ikiwa na vyumba viwili vya kulala(kimoja masterbed room), sitting room, dinning room, kitchen, public toilet ...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wadau natafuta haraka sana nyumba ya kupanga arusha iwe na vyumba 2 vya kulala,sebule na jiko na pia iwe self contained maeneo ya njiro/nanenane au karibu na njiro au mjini pia buget isizid 200000
0 Reactions
8 Replies
2K Views
CIF DAR EUR 25.000 Description: DYNAPAC 12000R YEAR 1992 5.943 HOURS 6 CYLINDERS ENGINE DEUT
0 Reactions
0 Replies
805 Views
ciaf dar pound 40.000
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Sold............. Imeshauzwa.............
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…