Get ur mobile phones at cheap and affordable prices kama ifuatavyo:
BlackBerry Torch 2 - 9810 @ Tsh 400,000
BlackBerry 9900 @ Tshs 450,000
Samsung S3 @ Tshs 700,000
iPhone 5 mpyaaa kabisa @...
Wana JF, napangisha nyumba maeneo ya Mtoni Kijichi itakuwa wazi kuanzia 1/5/2013, kama unaelekea Neruka Sec. Vyumba 2, sebule, valanda,bafu, jiko, choo na nafasi kubwa kwa nje - parking. Kodi ni...
Pana nyumba. Eneo lina ukubwa wa mita 35 x 25. Ni karibu na EPZ Ubungo, Viwanda vya Ubungo, Chuo Kikuu Mlimani na mfumo wa Usafiri kuelekea katikati ya jiji vimekaa vizuri. Pana hati ya...
Wana JF, napangisha nyumba maeneo ya Mtoni Kijichi itakuwa wazi kuanzia 1/5/2013, kama unaelekea Neruka Sec. Vyumba 2, sebule, valanda,bafu, jiko, choo na nafasi kubwa kwa nje - parking. Kodi ni...
frem ya biashara inatafuta hata kama sio kubwa yaani kama nyembamba sana isio mbaya kwa ajiri ya biashara ya tigo pesa kama unayo usisite kuwasiliana nami wappolinary@yahoo.com au ni pm hapa jf...
Nyumba inatafutwa Nyegezi, Mwanza au maeneo ya karibu. Vyumba angalau viwili (master) yenye fensi (au flat) maeneo yenye usalama.
Mwenye nayo ni PM namba zako.
Wadau ,
Nina product(s) mpya nataka kuziingiza sokoni hivyo natafuta watu wenye uwezo wa kuniuzia bidhaa zangu kwa wateja wa aina mbalimbali ,Sifa;
Awe anaipenda kazi yake
Awe anaweza kujituma...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.