Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Habari Waheshimiwa, Natafuta Large format printer kwajili ya printing ya Mabango makubwa, nikipata hata ya Kichina Fresh, mnaweza kufahamu sehemu ambayo nikafanikiwa kupata hicho kifaa?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
je unahitaji ps 2 used,kwa bei nafuu,piga 0719315637 zipo chache tayari zimechipiwa,zina flash za 2gb na latest games 3..ikiwemo tekken 5,pes 2013,na midnight race2. pia kuna controller pad...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
kwa wale wanaosaka scholarships kwa phd, masters na phd hii inaweza kuwafaa. www.scholarshipshare.webs.com
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wapi? Kimara Kilungule. Kilometa tatu kutoka Morogoro Rd (Kimara Korogwe/Kimara Mwisho). Kumbuka: Barabara ya lami iko mbioni kujengwa kuelekea Morogoro Rd. Ukubwa?mita 40 kwa 20 na mita 20 kwa...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wapi? Kimara Kilungule. Kilometa tatu kutoka Morogoro Rd (Kimara Korogwe/Kimara Mwisho). Kumbuka: Barabara ya lami iko mbioni kujengwa kuelekea Morogoro Rd. Ukubwa?mita 40 kwa 20...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
habari jf, gari aina ya volkswagen polo inauzwa odometer. 84000km 1100cc ya mwaka 2001 gud condition, haina tatizo lolote. ipo arusha kwa sasa, bei ni 7m, maongezi yanakaribishwa. contacts...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kuna wakati binadamu bila kupenda hujikuta kakumbwa na tatizo la dharura ambalo linahitaji ufumbuzi wa haraka na the only solution inakuwa kupata kiasi fulani cha fedha kulikabili. Hali hiyo...
0 Reactions
12 Replies
5K Views
Wadau mwenye kuhitaji kiwanja kina ukubwa wa 25x35, kuna nyumba yaa vyumba viwili vimeshapigwa bati ila bado madirisha, bei ni milioni 10, nicheki hapa 0762-323925
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Moderators na wengine tafadhali naombeni msaada jamani. Kuna mtu wa karibu na mimi anahama jiji la Dar es Salaam kurudi kwao kutokana na umri. Anataka kuuza eneo alilokuwa anamiliki ili...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Yoyote mwenye hiyo simu anicheki kwa namba hii 0755065418,nipo mwanza
0 Reactions
9 Replies
1K Views
The fone has half touch screen problem, bt it works perfectly without considerin touch issue ! It has charger, protector and cover ! 0656 664 714, whatsap-0688 061010 !!
0 Reactions
0 Replies
941 Views
Hello! Tiles Grade 1 Zenye Ubora wa Hali ya Juu, toka China Zinapatikana Tegeta Salasala kwenye Depot Mpya. Ni tofauti na hizi za Wachina zilizopo sokoni. 1.Nene zaidi 2.Nzito zaidi...
0 Reactions
13 Replies
4K Views
Pata Universal Modem kwa Tsh.35,000/ hakuna haja ya kusumbuka ku'unlock au kua'limited na Mtandao wowote. Model yake 3.5G, HSPA. Speed 7.2Mbps (HSDPA). Inaslots mbili,...moja kwa'ajili ya line...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Ipo karibu na DDC MAGOMENI KONDOA UKIIHITAJI 0655 44 44 40,iPo sehemu nzuri na bei yake ni 250,000 kwa mwezi
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wanajamvi naombeni ushauri kati ya hizi gari aina mbili lakini kampuni moja ya toyota,Nadia na Opa ipi ni bora in terms ya 1.Durability(kudumu) -Hili tuchukulie katika matumiz ya kawaida na yale...
0 Reactions
17 Replies
14K Views
Jamani naulizia wapi wanauza olive oil kwa jumla???
0 Reactions
8 Replies
2K Views
:A S-heart-2:PIKIPIKI INAUZWA AINA YA SNLG TSHS 1'000,000 IKO BOMBA 0759007560 :yo: :yo::yo::yo::yo::yo::yo::yo::yo::yo::yo::yo::yo::yo::yo::yo::yo::yo::yo::yo::yo::yo:
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Naomba unipe bei mkuu kama unayo,na ikiwezekana iwe inapatikana Dar itakua vizur zaid!
0 Reactions
5 Replies
1K Views
:frusty::frusty: Jaman wanaJF mwenzenu nimepata dharura ila nina gari yangu aina ya nissan patrol naiuza kwa bei poa mil 14 ni manual, green, engine 42D, full AC, CC 4500 inatembea naomben...
0 Reactions
2 Replies
989 Views
Kiwanja kizuri tambarare hakina mabonde wala milima kinafikika kwa urahisi Kipo Mbezi ya Kimara, Maramba mawili msikitini bei ni 6,000,000/= maongezi yapo.
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Back
Top Bottom