Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Wapendwa natafta used furniture za ofisini nataka viti,meza zenye droo, na kabati ya kuhifadhia documents ziwe kwa bei rahic mwenye Nazo anipm lakini sitaki za wizi, Pia natafuta sehemu ya kurent...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
huawei u8160 (vodafone 858) inahitajika katika hali nzuri,budget ni 100,000 pia kama google ideos ipo kwa bei hiyo. number:0763309632,dar
0 Reactions
1 Replies
918 Views
Nahitaji laptop ya samsung NP 530 i5, Projector ambayo inaruhusu wireless na samsung tablet 10.1 best price na viwe ktk hali nzuri...humble2080@yahoo.com
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari zenu Wakuu, najitokeza humu leo kuhitaji fremu/chumba cha biashara. Iwe ndani ya wilaya za aidha Temeke au Kinondoni. Fremu hii isiwe kubwa saana wala kasiwe kadogo saana iwe ya wastani...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Au linapouzwa naomba mnijulishe. Thanx wakuu!
0 Reactions
0 Replies
629 Views
Nafundisha course ya computer kwa kuwaandaa wanaotaka kujiajiri na kufungua secretarial/stationeries. Sitoi cheti ila nakujaza uelewa wa hali ya juu wa matumizi ya computer.darasa lenyewe ni...
0 Reactions
0 Replies
922 Views
Nafundisha course ya computer kwa kuwaandaa wanaotaka kujiajiri na kufungua secretarial/stationeries. Sitoi cheti ila nakujaza uelewa wa hali ya juu wa matumizi ya computer.darasa lenyewe ni...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
HTC Chacha.. Price; 250,000/= Condition; Brand new with accesories Contact; 0712198128
0 Reactions
0 Replies
868 Views
Hiyo Motherboard inahitajika mapema
0 Reactions
4 Replies
1K Views
tumefungua ofisi mpya na hivyo tunatafuta 1.meza MOJA kubwa ya wastani yenye double droo kulia na kushoto ,bajeti yetu @ TSH 80,000/= 2.viti viwili vikubwa wastani vya kuzunguka, bajeti @TSH...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Urgent! I am looking for serious gold sellers who can from anywhere but prefereably Geita. Please contact me at 0767210785
0 Reactions
4 Replies
1K Views
:lalala: GARI INAUZWA Ni aina ya nissan patrol safari, super roof Sifa: green colour 10passangers engine 42D 4wheel drive right steealing cc 4500 fuel injection diesel 5 doors Full AC Manual Its...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Mimi nipo hapa Kalangalala,Geita! Kama kuna mtu anauza simu aina ya X2 tujulishane,natafuta ya kununua(used)! Kama inapatikana ,naomba kujulishwa kwa nambari 0759947397
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Surveyed Plot For Sale Location: Goba Mtambaa, Block M, Plot No 35 Size: 2,088 Square metres Contact: 0757000400
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kwa yule anaehitaj moderm ya voda 25 tu nichek 0653320639
0 Reactions
2 Replies
957 Views
Kwa anayehitaji aache mawasiliano yake hapa. ukubwa ni 35 kwa 50. Kina mtelemko kidogo na sio vilivyopimwa na Songas.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari waungwana. Dili kubwa la pasaka, Nyumba ya vyumba 3 vya kulala, sebule, vyoo, stoo kila kitu, tofali za cement, imeshawekwa bati, na kuna eneo la kutosha linazunguka, mtaa wa pili toka...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Mpyaaaa.Bei 1m tshs(one million shillings).Nicheki PM kwa mawasiliano zaidi.
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Nanunua motherbord za computer..radio...Tv na sim zilizo kufa kwa wingi wowote ulio kua naao. Kwa mawasiliano ni sms au whatsapp kupitia namba hii ya simu 0713935738
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Nyumba hii inauzwa ipo vingunguti karibu na sheli jijini dar es salaam bei ni maelewano kwa mawasiliano zaidi wasiliana katika namba 076437001,au 0718 370001
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Back
Top Bottom