Natafuta watu wa sales na marketing

Natafuta watu wa sales na marketing

Zamazamani

JF-Expert Member
Joined
Jun 13, 2008
Posts
1,903
Reaction score
829
Wadau ,
Nina product(s) mpya nataka kuziingiza sokoni hivyo natafuta watu wenye uwezo wa kuniuzia bidhaa zangu kwa wateja wa aina mbalimbali ,Sifa;
  • Awe anaipenda kazi yake
  • Awe anaweza kujituma
  • Mcheshi
  • Mtanashati
  • Akiwa amesomea,ni faida zaidi kwake
  • Akina dada inawafaa zaidi ,lakini siyo kigezo kikubwa
Yeyote mwenye sifa hapo juu naweza kutuma maombi katika : fadhiliss@yahoo.co.uk
Mwisho wa maombi ni tarehe 05 April 2013
 
Nahitaji hiyo kazi, ni sales ya mambo gani? Mshahara vipi?
 
Eleza vzr ni product gan.? Upo wap?...na kima cha chini cha mshahara ni sh ngap? Pia utaratibu wa ulipaji mshara(unalipwa kutokana na kaz uliofanya au fixed wage)
 
Ungeanza na kuzifanyia marketing humu pia. Hebu rushia masampuli. Usisahau kurushia katangazo 'kama hujafurahia matokeo ndani ya siku 7 rudisha bidhaa urudishiwe fedha zako'. Huwa haturudishi, niamini
 
Ungeanza na kuzifanyia marketing humu pia. Hebu rushia masampuli. Usisahau kurushia katangazo 'kama hujafurahia matokeo ndani ya siku 7 rudisha bidhaa urudishiwe fedha zako'. Huwa haturudishi, niamini
Well noted.Kimsingi ninauza tiles cleaner ,ukiangalia nyumba nyingi zenye tiles huwa kuna weusi hasa katikati ya tiles vilevile tiles zenyewe zinakuwa kama zimezeeka...sasa dawa ambayo iko effective na affordable ndiyo ninayoiuza ,Tshs 3000 tu kwa lita..kama unahitaji ni pm then nifanye mpango wa kukuletea.Vilevile nitakufanyia sample kwanza ndani ya dk 10 utajionea mabadiliko!
 
Back
Top Bottom