Jipatie desktop cpu hii mashine ya kazi

Jipatie desktop cpu hii mashine ya kazi

Fadhili Paulo

JF-Expert Member
Joined
Sep 1, 2011
Posts
3,211
Reaction score
996
Unahitaji mashine ya kazi? jipatie desktop hii:

RAM: 2 GB
HARD DISK DRIVE: 500 GB
PROCESSOR: CORE 2 DUO
OPTICAL STORAGE: DVD/CD+DVD/CD RW
MOTHERBOARD: NEW/MPYA

BEI: 420,000/=
NEGOTIATION/MAZUNGUMZO: YES/YAPO
LOCATION: Dar - Es - Salaam
QUANTITY: 5 CPU'S
CONTACTS: +255769142586 au ni - PM

Dell-OptiPlex-3801.jpg
 
iyo bei ni pamoja na flat screen,keyboard na mouse?
 
Hii bei ni bila flat screen, keyboard na mouse. Ukihitaji hivi vyote vipo unafungiwa tu ila bei itaongezeka kidogo. Wewe tu!

iyo bei ni pamoja na flat screen,keyboard na mouse?
 
Wakuu, mashine 2 tayari zimepata watu, zimebaki 3 tu. Kwa wale wanaohitaji mashine za kazi, hii ni nzuri kwao, changamkieni dili hili. Mashine nzuri sana kama unavyoweza kusoma specification zake hapo juu.
 
Mkuu, ni used ila motherboard yake unafungiwa mpya kabisa kabisa, bei ya mwisho kabisa nipigie au ni-text katika simu 0769142586 muda wowote.


Mkuu ni mpya au Mtumba? na bei yako ya mwisho ni ngapi?
 
Back
Top Bottom