Nahitaji cementi ya nje

tabu kuishi

JF-Expert Member
Apr 16, 2011
353
43
WAKUU NAOMBA KAMA KUNA MDAU YOYOTE WA JF MWENYE INFOR. ZA CEMENT YA NJE ie IRAN OR PAKISTAN ANIPATIE MAHITAJI YANGU NI MIFUKO 640 KWA WEEKI NAOMBA KUFAHAMU PRICE KWA MFUKO MOJA WA KG 50.
 
Bei zake zipo juu sana na mimi nimepata soko mbali kidogo najaribu kuangalia bei nadhani ya nje ni nafuu sana kuliko zetu.
 
Jabal al cement factory,Dubai Uae(waweza ku google ukapata details za contacts)hawa jamaa wana cement nzuri sana,na cement yao ndio iliyojenga jengo refu kuliko yote duniani (Burj khalifa).Nchi jirani ya Qatar wanajiandaa na kombe la dunia hivyo demand ya cement imeongezeka sana,bei yao imepanda sasa mfuko mmoja ni Tsh 4000/ watakupa cheti chao cha ubora TBS hawatakusumbua ata kidogo..Lakini tatizo ushuru wetu pale bandarini haueleweki ata kidogo,jaribu kuwauliza wazoefu wa ku clear cement pale bandarini..ukiagiza container zima la futi 20 wawezapata kwa bei ndogo chini ya 4000 kwa mfuko..kusafirisha container la 20ft toka dubai kwenda dar ni $1600..nilituma cement wiki iliyopita,kodi niliyolipa sijui agent alinidanganya au Tra wali uplift sana,kwa container lenye cement 560 nililipa 3ml!!siku nyingine nikatuma ikawa cheap.so tafuta agent mzuri akupe makisio ukitaka maelezo zaidi tuwasiliane..cement ya Pakistan ni cheaper zaidi ya hiyo lakini kumbuka wakati wa kununua lazima wakupatie CHETI CHA UBORA ili kuepuka usumbufu wakati wa ku clear bandarini
 
Laki 77 tunashukuru kwa ujumbe kwako. Nimajaribu kukokotoa tarakimu hapa naona bei inakuja kama TZS 14,017 kwa tarnsaction uliyofanya ambayo ndio bei ya mfuko hapa Dar. Which means huenda ulichosave ni ubora pekee. I'm sure hili si container la kwanza, je la mwisho before hili kodi ilikuwa sh ngapi? Najaribu kuangalia namna ambavyo kodi ya akina Zakayo ilivyo determining factor kubwa sana kwenye hili. Ahsante.
 
Bwana Bobby ata mimi nilishangaa,kodi iliniua kabisa..Lakini kuna bwana ambaye anafanya biashara ya saruji anasema mpaka anatoa mzigo cost yake ni kama Tsh 7000/,sijui anatumia mbinu gani!!mwaka jana pia nilituma tax haikuwa kubwa hivyo.Huu mzigo nilioutoa ata mimi nilishangaa kwa nini kodi ilikuwa ya juu sana.solution ni kutafuta agent mzuri anayejua cement's clearance akupe makisio mazuri kabda hujaagiza..kwenye website ya Tra wamezungumzia importation of cement
 
Mkuu lucky 77 thanks kwa quick feedback. Nitajaribu kufanya kautafiti ka agent mzuri wa kuclear cement nimsikie japo najua agents wengi c wakweli, atakuambia yuko fit then mwisho wa siku anaibuka na kodi kubwa ajabu. Nitakutafuta pia lucky 77 unielekeze baadhi ya mambo kuna kaproject kaujenzi nataka kuanza so nitahitaji kuimport vifaa kadhaa toka Dubai. May be pia huyo jamaa aliyesave vizuri kwenye kodi waweza kumwomba contacts za agent aliyeclear mzigo wake. Thanks!
 
Mkuu Bobby na lucky sabasaba nasikia wanakuwa na docs za aina mbili, zile za halali ambazo anaenda kulipia, na zile feki ambazo atakuletea wewe ili utoe hela. Nasikia wanashirikiana na jamaa wa TRA kuzipata, so linakuwa dili lao wote. Mwenye info zaidi anisahihishe au aongezee details
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom