Natafuta android ya kununua

Natafuta android ya kununua

lwampel

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2011
Posts
249
Reaction score
55
Natafuta android used kwa yeyote mwenye nayo aniuzie bajeti yangu ni tsh130,000/= tuwasiliane kupitia 0752490238.
 
Kila kheri,mkuu ila ukitaka uenjoy android ongeza bajeti yako,piga chini bajeti ya wizara nyngne!
 
Natafuta android used kwa yeyote mwenye nayo aniuzie bajeti yangu ni tsh130,000/= tuwasiliane kupitia 0752490238.

Android ni open source software haiuzwi, unaweza download FREE of charge toka kwenye official website yao www.android.com
 
Natafuta android used kwa yeyote mwenye nayo aniuzie bajeti yangu ni tsh130,000/= tuwasiliane kupitia 0752490238.
Mkuu, unaelewa unachokitaka lakini?

Ok,
kwenye computer kuna DELL, ACER, HP, COMPAQ etc but zote zinatumia mfumo wa Labda Window 7, e.t.c. ndio maana ukiziwasha ni kama zinafanana!!

Sasa wewe ni kama hapa unatafuta window 7 badala ya kutafuta computer
 
mkuu ongeza elfu kumi na tano upate techno p3 with 8gb memory card.ni mpya haijatumika kabisa.
 
Natafuta android used kwa yeyote mwenye nayo aniuzie bajeti yangu ni tsh130,000/= tuwasiliane kupitia 0752490238.

Web: Godfrey Electronics Online Sales - Home
Facebook: www.facebook.com/GodfreyElectronics
CONTACT: 0755189999, 0733189999, 0784189999
New HTC Hero for 155,000/=
New Samsung galaxy Apolo 180,000/=
New HTC Gratia for 180,000/=
New HTC Wildfire for 185,000/=
New LG Optimus L3 E Duos for 185,000/=
New HTC Desire C for 190,000/=
New HTC Chacha for 195,000/=
New HTC Trophy 7 for 250,000/=
New Samsung Galaxy Ace for 265,000/=
New HTC Desire S for 295,000/=
New LG Optimus P970 for 295,000/=
New Sony Experia neo V for 295,000/=
New Sony Experia X10 for 295000/=
New Samsung Galaxy S1 for 300,000/=
New Sony Experia ST25i for 355,000/=
New Samsung Galaxy S3 mini for 495,000=
New Samsung Galaxy S2 for 495,000/=
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom