Natafuta watanzania waliopo london- mimi nipo hapa nimetoka tanzania


M

Mrekebishaji

Senior Member
Joined
Mar 19, 2009
Messages
168
Likes
27
Points
35
M

Mrekebishaji

Senior Member
Joined Mar 19, 2009
168 27 35
Mimi ni Mtanzania nipo hapa London kwa vikao, nimefika tarehe 10 June na nitaondoka tarehe 19 June kurejea Tanzania. wakati wa w'end tarehe 14 na 15 June nitakuwa free, nitapenda kukutana na watanzania wanaoishi hapa London kwa ajili ya kubasilishana mawazo zaidi, hususani ya fursa zilizopo Tanzania na zile zilizopo hapa. Kikubwa ni tuzungumze namna ya kubadilishana uzoefu katika biashara.

kwa mawasiliano nitumie ni pm, na pia mimi nipo hotel ya Imperial, eneo la Russel square.

Karibuni na tupange mipango ya kusaidia nchi yetu na dunia
 

Forum statistics

Threads 1,273,431
Members 490,382
Posts 30,481,413