Wandugu wajasiriamali wenzangu,baada ya kuvuna mazao yangu,napenda uwasilisha kwenu sasa mchele super magugu unapatikana kwa wingi,mimi mwenyewe nnao hauna dalali.
Mahali mzigo ulipo nimagugu...
Tunauza GPS kwa bei nafuu sana:-
(1)mabegi ya watoto yenye GPS $200
(2)GPS za piki piki $150
(3)GPS za magari $200
mawasiliano zaid +255655948888 email.oxfordcomputertech@yahoo.com
kwa wanaohitaji kutengenezewa website,blogs,vipeperushi,na otherstationary stuffs. contact us maria@dwt.co.tz au 0715878575 .
Website hosting and Domain registration kwa 100,000/= TU.
Mfano wa...
SHAMBA LINAUZWA
Shamba linauzwa lina heka 4 na bei Tshs milioni 4.Shamba lipo MKURANGA na lipo ktk eneo zuri na kuna bonde na upo mto mdogo unapita karibu na hapo ila halijalimwa kitu.Eneo ni...
Habari za muda huu waugwana!
Jamani naulizia kwa yeyote anayejua wapi naweza kupata injini aina ya Yamaha 9.9hp au Yamaha kubwa zaidi ya hapo, basi tujuzane.
Asante
kwa wale wanaohitaji laptop used ambazo zipo ktk hali nzuri, sasa hivi ninamzigo wa VIJITSU, PROCESSOR 1.6GHZ, RAM1.5 GB. HDD 60GB. hd screen pia ina wifii, bei ni tsh 300,000/= kwa mawasiliano...
HTC legend used inauzwa charger yake unapewa na usb cable yake..
Bei ni 180000 tu..
contact: 0713628941
Specification zake soma hapa
www.gsmarena.com/
htc_legend-3141.php
Wakubwa,
Nauza Marine sheet kama 100 na mbao. Marine nimezitumia kumwagia jamvi la juu kwenye kajumba kangu Tegeta. Kama unaitaji nitumie msg. Nauza bei ya kutupa, half of the price. 30,000 kwa...
jamani wapi naweza kupata housing ya n9 au kama kuna mtu anaya simu kama hyo ambayo ni mbovu hana mpango wa kuiteneneza au haitengenezeki tuwelewane aniuzie housing 0683808361
Nyumba nzima ya kupanga inatafutwa.
MAENEO: maeneo yoyote ya Temeke, Dar es salaam, ama nje kidogo ya wilaya ya Temeke.
SIFA: Iwe ina choo cha ndani, iwe na marumaru ndani ya nyumba nzima...
Wanajanvi naombeni msaada kwenu nina madini aina ya kasheshe lakin sijui
soko nitapata wapi wanunuzi wa madini ya Aina hii hivyo naleta kwenu wanajamvi
plz... plz.... nisaidieni
waweza nicheki kwa...