je unahisi umepoteza dira gaavijana center wanakuletea tumaini jipya kama unataka kurudia masomo ya kidato cha sita na cha nne wasiliana nasi bei zetu ni nafuu na kwa wateja wa mwanzo watapewa...
punguzo la bei kwa wanafunzi wote wa o level kwa masomo yote ni bei nafuu kabisa,pia kituo cha mitihani ya taifa ya kidato cha nne na sita kwa ghalama nafuu na kusajiliwa bure,tupo njiro arusha...
TUPO MBIONI KUANZA BIASHARA YA KUUZA MITUMBA HAPA DARA NIMEAMBIWA KUWA ,UKIENDA KAMPALA KUNA MITUMBA SAFI YA KUFA MTU ,NAOMBA MWENYE MAELEZO FASAHA KUHUSU BIASHARA HII NA NGUO KWA UJMLA.hIVI...
kiwanja kina ukubwa wa eka moja kipo maeneo ya Mateves, Arusha Airport karibu na zipojengwa nyumba za NSSF, bei TZS 35,000,000.00, inaruhusiwa kulipa kwa awamu, kwa mawasiliano zaidi piga namba...
Viko kibamba kilomita 2 kutoka morogoro road.
vina ukubwa wa mita 25*23 bei million 4.2 na mita 20*23 bei million 3.5
umeme, maji yapo na vyote vinafikika kwa barabara
(kwa taarifa zaidi piga...
Model: Blackberry Bold 9900
Capacity: 8GB Internal Memory and can support up to. 32GB memory card
Accessories: Usb Cable
Condition: Used abroad
Price: TZS 400,000/=
Contact: 0655003510
Sent...
Viko km 2 kutoka morogoro road ukubwa mita 32*25, huduma zote za kijamii zinapatikana maji, umeme, barabara kubwa ya tanroads na viko tambarare.
(kwa taarifa zaidi piga 0715055577/0769055577)
Naishi Mabibo Dar-es-salaam..namba yangu ya simu ni 0713 190 118..km unahitaji huduma au una shida na fundi umeme nipo hapa...piga simu nitakuja popote ulipo
General Information
2G Network GSM 850 / 900 / 1800 / 1900
3G No
4G No
SIM Dual Mini SIM card
Status Available May 2012
Body
Dimensions109.9 x 60.6 x 13.4 mm
Keyboard Touchscreen
Display
Type HVGA...
Wakuu,
Naomba ushauri kuhusu ubora wa RAV4 yenye ingine code 1AZ . Ni RAV4 ya mwaka 2000. Nitashukuru kupata ushauri kwa mtu mwenye gari ya aina hii au kwa mtu anaezifahamu vizuri.
Natanguliza...
Ni nyumba kubwa inafaa kwa kupangisha.. Ipo kihesa na iko katika hali nzuri kabisa.. Bei ni million 42... mwenye uhitaji anaweza nipm nikaenda kumpeleka aikague.. Haina dalali muhusika mimi mwenyewe.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.