Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

A Surveyed Plot Location: Plot No 35, Block M, Goba Mtambaa, Kinondoni Municipality Total Area: 2,088 Square Metre Price: 25,000,000/- Contact: +255757000400
0 Reactions
0 Replies
829 Views
Natafuta tenda ya jiko kwenye bar/grocery/ restaurant ya kuandaa vyakula kuanzia supu, vyakula vya mchana na uchomaji wa nyama, mkataba ni maelewano kuendana na sehemu yenyewe ilipo na flow...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
msaada wakuu.. wapi nitapata hii kitu kwa hapa dar?
0 Reactions
2 Replies
6K Views
TUNATOA HUDUMA KAMA ZIFUATAZO kama madai ya ardhi ,jinai,ndoa, miradhi ,madai yakawaida ,pia tunawakilisha wateja wakesi mahakamani kama kutaonekana kunahitaji hilo na kusimamia mauzo...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Tafadhali, naomba kufahamu maeneo yalipo maduka yauzayo cm ambazo ni used jiji Dar
0 Reactions
0 Replies
1K Views
WAKUU NAOMBA KAMA KUNA MDAU YOYOTE WA JF MWENYE INFOR. ZA CEMENT YA NJE ie IRAN OR PAKISTAN ANIPATIE MAHITAJI YANGU NI MIFUKO 640 KWA WEEKI NAOMBA KUFAHAMU PRICE KWA MFUKO MOJA WA KG 50.
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Bar nzuri ipo tabata kimanga near kisukuru shule.... Ni pm kama wahitaji
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Mimi ni Mtanzania ninayeishi China. Mji wa Guangzhou,nimeishi hapa kwa muda wa miaka mitatu(3). Nina uwezo wa kuzungumza Kiswahili,Kiingereza na Kichina. Pia ninafahamu masoko na Viwanda yenye...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kilipo: Bwawa la Mindu karibu kabisa na Barabara ya Moro-Iringa Ukubwa: Ekari Moja Bei: Mil.10(Mazungumzo yapo) Mawasiliano: PM kwangu nikuunge kwa mwenye eneo Karibuni wote! Mzee Tupatupa wa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nimepata kusikia kuwa gari aina ya Suzuki Swift ni gari nzuri sana kwa mtanzania wa ngazi ya kati(Middle Class) kwa matumizi binafsi katika mazingira ya mijini Kwa vigezo vya BEI NAFUU, MAFUTA...
0 Reactions
3 Replies
10K Views
Wasalaam ALEIKHUM wakuu Simu Galaxy SII inauzwa laki 4 tu, inapiga mzigo fresh Defaulty Imepasuka kioo cha mbele sehemu ya juu (Tazama Picha) hakuna tatizo lingine zaidi ya hilo Nasikitika...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
viko kilomita 2 kutoka morogoro road ,size mita 25*23 million 4.5 na 20*20 million 3.5 vinafikika vizuri kwa gari , na umeme ukojirani kabisa. (piga 0715055577/0769055577 kwa taarifa zaidi)
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari wadau, Nauza eneo ambalo tayari linayo nyumba ndogo ya uwani yenye vyumba vitatu. Eneo lililopo ni hatua 40-35, halina miti au mazao yoyote. Lipo ndani ya jiji la Dar maeneo ya uwanja...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Msaada jamani,natafuta nyumba ya kupanga maeneo ya ilala,magomeni au g'mboto. Madalali,changamkieni tenda.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kwa wale wenye Guest house,Mahotel,Kambi na wanaohitaji kusambaziwa channel tuwasiliane kwa PM ni channel zozote uzitakazo wewe ziwe FTA au za kulipia. Bei ni nafuu sana. Aksanteni sana pia...
0 Reactions
1 Replies
898 Views
HABARI WAKUU, mzigo hauna mwezi ,,mpya bado,, 800,000 tu,, nakupa simu na charger 0712 507060 karibuni
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wadau, kinga'muzi cha Startimes kimenishinda. Nalazimika kutumia antena tatu, ili kupata chanel za kutazama. Kila antena ina chanel zake. Nikitumia antena moja napata baadhi tu. Nimejaribu kufuata...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
wana JF kuna kiwanja kinauzwa bei nzuri kipo Mtwara Mjini kimepimwa kina ukubwa wa squere meter 1500(low density) kipo katika eneo la MItengo jirani kabisa na mji mdogo wa mikindani mtwara mjini...
0 Reactions
1 Replies
998 Views
Hallo, Kwa yoyote Mwenye Kuhitaji Mini Laptop zenye kukaa na chaji kwa Masaa zaidi ya 10. Pia ni frendly kwa wale walio na shida ya Umeme kukatika Mara kwa Mara kwani waweza kuichaji kwa Umeme wa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom