Natafuta printer all in one - preferably Canon pixma mx320

Polisi

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2010
Posts
2,082
Reaction score
643
Wakuu, heshima kwenu
Nataka kuongeza wingo katika biashara ambayo nimewafungulia vijana wangu. Kwa kuanza nahitaji printer ambayo pamoja na kufanya mambo mengine iweze:
  • Kuprint picha - including passport kwa kutumia usb, cd n.k
  • Fax
  • Kutengeneza kadi mabalimbali (VITAMBULISHO, KADI ZA MIALIKO, HARUSI N.K)
Nimedokezwa kuna Canon Pixma Mx320, ni nzuri ambayo inafanya kazi karibu zote nilizozitaja
Bajeti yangu ni Sh. 250,000 - 350,000 kutegemeana na haqli ya printer yenyewe
Kama unayo weka specifications zake hapa au Pm
Asanteni

NB Nipo mwanza. Nipo tayari kumtuma kijana dar endapo nitakuwa nimejiridhisha pasi na shaka ubora wa mashine hiyo
 
Mkuu jaribu kutembelea maduka wanayouza computer. Ila sidhani kama unaweza kupata printer inayofanya yote hayo. COPY+SCANNER+PRINTER+FAX unaweza kupata ila yenye kuprint ID na kadi kwa kweli sina uhakika. Wasiliana na BMTL nadhani hata mwanza wapo
 
Okay. Kuna moja nimeipata ina print, copy, scan na fax. Ni product toka uk. Wasi wasi wangu hiyo product ya uk ikiharibika spea zake zinapatikana? Halafu, uimara wake ukoje, vitu4 kwenye mashine moja?
 
Mkuu jaribu kutembelea maduka wanayouza computer. Ila sidhani kama unaweza kupata printer inayofanya yote hayo. COPY+SCANNER+PRINTER+FAX unaweza kupata ila yenye kuprint ID na kadi kwa kweli sina uhakika. Wasiliana na BMTL nadhani hata mwanza wapo

Vipi wino wa canon maxma mx320 unapatikana kirahisi na bei gani?
 
Mm ninayo hp ambayo ni copy,scanner,printer na fax Ni mpya nauza laki 650,000.kwa mengineyo meng tuwasiliane kwa hii namb 0712 419 419
 
Asante. Nimeshapata tayari
 
Back
Top Bottom