Till ya tGO PESA.

Till ya tGO PESA.

Mizzle87

Member
Joined
Jan 10, 2013
Posts
93
Reaction score
6
Kwa anaehitaji line ya uwakala wa tGO pesa ninazo nauza km muhitaji nichek kwa call: 0757 100 687 na whatsapp au ni PM kwa biashara na muhitaji ambae yupo serious.
 
Kaka hizo till zimekuwa issued kwa kufanyia kazi Dar au mikoani? kama ni za mikoani, zikianza kutumika Dar zitafungiwa mara moja. hili linahitaji ufafanuzi na ni muhimu kuhakiki usajili wa hiyo line kabla ya kununua. Natanguliza shukrani
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom