Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Wadau nauza/nafyatua matofali ya hydrofoam kwa sh 550 kwa tofali. Piga namba 0785318248 kwa maelezo zaidi.
0 Reactions
13 Replies
10K Views
General Information 2G Network GSM 850 / 900 / 1800 / 1900 3G No 4G No SIM Dual Mini SIM card Status Available May 2012 Body Dimensions109.9 x 60.6 x 13.4 mm Keyboard Touchscreen Display Type HVGA...
0 Reactions
25 Replies
4K Views
Wakuu, Naomba ushauri kuhusu ubora wa RAV4 yenye ingine code 1AZ . Ni RAV4 ya mwaka 2000. Nitashukuru kupata ushauri kwa mtu mwenye gari ya aina hii au kwa mtu anaezifahamu vizuri. Natanguliza...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Ni nyumba kubwa inafaa kwa kupangisha.. Ipo kihesa na iko katika hali nzuri kabisa.. Bei ni million 42... mwenye uhitaji anaweza nipm nikaenda kumpeleka aikague.. Haina dalali muhusika mimi mwenyewe.
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Model: Ipad 3 Capacity: 32GB Display: Retina Display Connectivity: Cellular + Wi-Fi Condition: new Accessories: usb cable Price: TZS 750,000/= Iphone 4 32GB New with usb cable Price: TZS...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Body ya toyota prado ya mwa ka 1999 linatafauatwa liwe katika hali nzuri
0 Reactions
0 Replies
876 Views
habari wadau ndugu zangu nina mpango wa kufungua barbeshop sasa naulizia mwenye ufahamu wapi? naweza pata viti vizuri vya gharama ya kawaida offer yangu mi laki tano(500,000) kwa kiti kimoja...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Wana jamii naomba kujuzwa ni brand gani nzuri ya tairi hizi (size 215/70R16) naweza tumia kwa muda wa zaidi ya miaka 2 kwa matumizi ya gari. Wastani wa umbali nitembeao kwa gari ni 30-35km kwa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Natafuta chumba cha kupanga maeneo ya sayansi mpaka Morroco, Sinza au Mikocheni. sifa za chumba ni:- 1. Iwe chumba na sebule self contained na jiko, maji na umeme. 2. Ndani ya fensi 3. Pawe...
0 Reactions
0 Replies
878 Views
Taja aina ya gari unaloitaji na upatiwe bei na details nyingine kwa bei che .karibu sana
0 Reactions
30 Replies
4K Views
Natafuta suzuki every .niko serious .kama unayo ni pm
0 Reactions
0 Replies
726 Views
I pad 2 ya 16gb inauzwa ni wireless laki5na nusu
0 Reactions
0 Replies
685 Views
Hi Members Kwanza nitangulize shukrani. Nipo katika maeneo ya kijitonyama-Dar Es Salaam na nina Mpango wa kufanya biashara ya mazao ya shamba maarufu sana kama Mali Mbichi.Naombeni maujuzi yenu...
0 Reactions
13 Replies
4K Views
******this car is now sold******gari hii imeshauzwa*******
0 Reactions
2 Replies
1K Views
The car is used oveseas, it is to be imported - air condition - diesel - manufactured 2000 - manual gear - electric windows and mirrors - tempomat - RHD - alloy wheels -engine 2700cc -mileage...
0 Reactions
2 Replies
858 Views
Nyumba ya kisasa inauzwa. MAHALI: Ipo Yombo, Temeke, Dar es salaam. MAUMBILE: Ina vyumba vitano, sehemu mbili za kupumzikia, sehemu ya kula chakula pamoja na chumba cha jiko. Ina vyoo viwili...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
nokia e5 inauzwa..condition exellent..bei 170..pia blackberry curve 1 inauzwa bei 80 tu..chek mi 0767879784
0 Reactions
1 Replies
966 Views
wadau ninahitaji laini ya tigo pesa ya kununua kwa ambaye anayo na haitumii au anauza naomba anicheki kwa namba hiyo hapo,nimetembelea tigo shop tofauti tofauti wanasema wamesitisha kwanza...
0 Reactions
0 Replies
824 Views
Nauza ipad 2 64GB, ni mpya ila zinakuja na cable yake tu. Bei ni laki sita. Tuwasiliane kwa 0655003510 Sent from my BlackBerry Bold Touch 9930 using Tapatalk
0 Reactions
6 Replies
1K Views
We looking for a few companies to sponsor in our event that's happening soon in Dar es salaam and that will be a major crowd pull off. Its a classic event. Please PM me with info : Major...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Back
Top Bottom