Re: Viwanja mbezi temboni kwa lady jaydee

Re: Viwanja mbezi temboni kwa lady jaydee

Wenger

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2010
Posts
472
Reaction score
267

Viwanja vinauzwa Mbezi Temboni
vipo sita(6) sehemu moja barabara kubwa, umeme upo hapo huhitaji kuweka nguzo eneo limezungukwa na nyumba za kisasa ukifika utapapenda. temboni kwa lady Jadee
ubwa wake: 20m X 20m
bei 12,000,000
kwa mawasiliano ; 0714 49 98 28

Mimi nimeombwa na mhusika niweke hapa yeye sio member hapa .
 
yahaya unaishi wapi nyumba namba haijulikani
 
yaan uchochoro unauzwa milioni 12, kwel dari ardhi nisawa na almas.
 
Back
Top Bottom