Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Simu tajwa hapo juu mpya na haijawahi kutumika kabsa inauzwa Ina android 4.0 Camera ni mega pixel 12 Internal memory ni 32 Waweza kuichek specification zake zaidi hapa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
kichwa kinajieleza wakuu...................pia ningefurai hi kama ningepata na mawasiliano.........kwani mimi nko mkoani thanks
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wajumbe nimesikia tangazo la DSTV la offer zao katika package na nlikua nataka kujuzwa kama mtu amelisikia vizuri hilo Tangazo mana nimeskia juu juu katika daladala na je ukitaka kuona channel za...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
CLICK HERE FOR MORE DETAILS !! A toyota verossa is now available for sale in Dar es salaam!! PRICE= 16,000,000 TSHS ONLY !! Price Negotiable?: yes Contacts: 0714633314 Country: Tanzania City...
0 Reactions
19 Replies
7K Views
Jamani mimi ni kijana wa kiume nipo dar,natafuta kazi yeyote kwenye mabaa,migahawa mikubwa,mashirika mbalimbali na hata kwa mtu binafsi,naombeni msaada
0 Reactions
0 Replies
856 Views
A DOUBLE-STOREY HOUSE TO LET1. Location - Plot no 2173, Block D, Mbezi Beach, Dar es Salaam, Tanzania 2. Room facilities (i) 5 bedrooms – four upstairs and one downstairs (each room is...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
wadau wa JF kuna kiwanja kinauzwa eneo: Mtwara mjini mtaa: Mitengo ukubwa:low density ya square meter 1500 na kimepimwa NB:KIPO KATIKA MAZINGIRA MAZURI NA TAMABALALE NI 1KM kutoka katika barabara...
0 Reactions
2 Replies
910 Views
We are real manufacture & distributors of quality sporting goods in Tanzania, get involved in entrepreneurship training which will be conducted at Don bosco youth training centre at Iringa region...
0 Reactions
0 Replies
878 Views
Wakuu,habarini za asubui?Nina mpango wa kununua Harrier,ila sijui ni engine ipi nzuri.Naomba anayeyafahamu haya magari anipe ushauri.Mbarikiwe sana wakuu.
0 Reactions
0 Replies
776 Views
wakuu nauza simu ya HTC merge kwa bei ya laki tatu tu Niko mbeya kwa mwenye kuitaji anipm simu nimetumia kwa wiki 2 tu so its almost new
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kifaa hiki ni maalum kabisa kwa kuzuia wizi wa gari yako au kufanya monitoring ya gari lako la biashara Ukiwa na kifaa hiki kimefungwa ndani ya gari lako unaweza kufanya yafuatayo 1. Ku-locate...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Wakuu wa gadgets, ipi inafaa zaidi Kati simu za mchina tajwa hapo juu?
0 Reactions
8 Replies
1K Views
wadau kuna mtu anajua kuhusu Mistubishi cars. I think i have fall in love with Dion. vipi kuhusu upatikanaji wa vipuri vya haya magari na vipi kuhusu uimara wake.
0 Reactions
15 Replies
3K Views
natafuta macbook pro iwe na intel core i5 na ram 4gb na hdd 500gb iko 1mill...nicheki 0717 022737
0 Reactions
0 Replies
792 Views
Camera Zingine zinauzwa...Kama Title inavyo Sema Camera Zote Mbili Kwa Lak.Mbili Tuu!! Yani 2 For 2 Camera Used Ya aina Panasonic Lumix Yenye 14.1MP 5X Optical Zoom!! Na...
0 Reactions
0 Replies
660 Views
Wakuu, nahitaji spare hizo, mpya au used. Kama unavyo tafadhali tuwasiliane. JF- CYBERTEQ FB - Cyberteq Gadgeteer Mail: cyberteq007@gmail.com
0 Reactions
1 Replies
830 Views
Iwe mitaa ya sinza,kijitonyama mwenge ama mitaa ya mlimani city, iwe chumba na sebule ama vyumba viwili na sebule pamoja na choo
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Habari wanajamii,naomba msaada wa maelezo kwa mtu anayejua.Natafuta mbegu za vitunguu hapo tanzania,jina ni kama la hapo juu yaani;Jambar f1 hybride onions.Sijui kwa lugha ya nyumbani...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
heyyy wakuuu naitaji simu tajwa hapo juu kwa mtu yoyote ambayo anayo anipm naitaji used
0 Reactions
1 Replies
864 Views
Wakuu ninauza Kiwanja chenye ukubwa wa heka moja kwa sh. mil 3.8 tu. Kiko Kongowe mwisho Mbagala Km 3 kutoka Barabara ya lami na gari linafika mpaka kwenye kiwanja. Tafadhali mwenye kuhitaji ani PM.
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…