Digitali
JF-Expert Member
- Jan 16, 2013
- 424
- 91
Kifaa hiki ni maalum kabisa kwa kuzuia wizi wa gari yako au kufanya monitoring ya gari lako la biashara
Ukiwa na kifaa hiki kimefungwa ndani ya gari lako unaweza kufanya yafuatayo
1. Ku-locate mahali ilipo gari yako kwa kutumia google map kwenye ramani utaona physical features kama magengo na barabara
2. Real time tracking- Utaweza kufuatilia gari yako kama inatembea na kuona kila inapopita kwa wakati, mahali, uelekeo, na mwendo kasi
3.Utapata tracking history itakayo kuonyesha kila mahali gari imepita kwa details kama mda na speed kwa kila mahali husika
4.Kwa kutumia simu yako ya mkononi utaweza kupata link mahali ilipo gari yako na ukifungua hiyo utaweza kama ni smartphone unaenda moja kwa moja kwenye location mahali ilipo gari yako
5. Kifaa hiki kinauwezo wa kunasa sauti na unaweza kusikiliza mazungumzo yanayoendelea kwenye gari hata kama ukiwa mbali kwa kutumia simu yako ya mkononi
Kifaa hiki kimejaribiwa nchini Tz na kinafanya kazi kwa ufanisi mkubwa sana, Okoa gari lako leo kwa kutumia kifaa cha thamani ndogo tu ya Tsh 350,000 Gharama hii ni kwa malipo ya mara moja na hakuna malipo ya kulipia huduma kwa mwezi
Kifaa kinatumia line ya simu gharama pekee ni kuweka vocha kwa ajili ya upload data kwenye google map, kutuma ujumbe wenyue link na kukupigia simu ili usikilize mazungumzo yanayoendelea kwenye gari
Kwa mahitaji yako
Nipigie 0756637966
au PM
au niandikie kwa email dancateman@gmail.com