jashmoe32
JF-Expert Member
- Dec 4, 2012
- 1,099
- 438
Wajumbe nimesikia tangazo la DSTV la offer zao katika package na nlikua nataka kujuzwa kama mtu amelisikia vizuri hilo Tangazo mana nimeskia juu juu katika daladala na je ukitaka kuona channel za supersports zinazodeal na mpira inakua katika package ipi na gharama yake ikoje?