Viwanja sh. mil 4 kwa heka nzima Kongowe mwisho.

Viwanja sh. mil 4 kwa heka nzima Kongowe mwisho.

Swordfisher

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2013
Posts
233
Reaction score
37
Wakuu ninauza Kiwanja chenye ukubwa wa heka moja kwa sh. mil 3.8 tu. Kiko Kongowe mwisho Mbagala Km 3 kutoka Barabara ya lami na gari linafika mpaka kwenye kiwanja. Tafadhali mwenye kuhitaji ani PM.
 
Mimi cha kwangu kipo mitaa hiyohiyo na nauza 1.5m na sijapata mtu ila ni nusu eka sio nzima kama ya kwako je una hakika na ukubwa huo? nauona noma sana

Mkuu nahitaji kiwanja cha bei hiyo ebu naomba nisaidie namba yako ila niko nje ya nchi nakuja mwishoni mwa wiki hii inayoanza kesho kutwa.
 
Salomkabora
Hivi upo makini na biashara yako au unarusha watu roho? Sikuelewi please kuwa muwazi.
 
Last edited by a moderator:
Au ume beep kwanza harafu unajipanga kutuumiza? Maaana sekta hizo ni balaaaaa.... Kwanza tayari nimeghairi kabisaaa sitaki tena....
 
Back
Top Bottom