Kipi bora Clone za Samsung au Tecno?

Kipi bora Clone za Samsung au Tecno?

Nokla

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2012
Posts
3,190
Reaction score
1,780
Wakuu wa gadgets, ipi inafaa zaidi Kati simu za mchina tajwa hapo juu?
 
inategemea na hio clone, kama hujui unachofanya bora tecno. ila kama unajua clone zipo za uhakika
 
Clone ndiyo nini?
Ndo simu feki au!

sijui hata nkujibuje.

clone ya simu unaweza ita feki kijina (kuitwa samsung) lakini original kivifaa. wanachofanya hawa jamaa wanapunguza vifaa halafu wanauza kwa bei rahisi.

mfano galaxy s4 original ina processor 8 wao wanaeka 4, ina ram 2gb wao wanaeka 1gb, qualitya ya camera wanaipunguza na hata memory unakuta wanakupa 8gb tu wakati s4 original zipo hadi 64gb
 
hivi zile camera huweza kufka hata 5mp kweli??? kwa hizi clone za note na s4
 
hivi zile camera huweza kufka hata 5mp kweli??? kwa hizi clone za note na s4

inaweza kuwa hata 13mp na isiwe na quality nzuri maana mp hazina maana zinaashiria tu ukubwa wa picha
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom