Iwe mitaa ya sinza,kijitonyama mwenge ama mitaa ya mlimani city, iwe chumba na sebule ama vyumba viwili na sebule pamoja na choo
Zipo kuanzia 300,000mkuu wewe ndio useme ipo kwa kiasi gani
Chumba kimoja ama viwili na sebule laki 3?
Kipo kimoja jirani na geti maji chuo kikuu choo cha ndani laki 1 na elfu 20 kodi ya miezi 6 (anatakiwa single any gender) mpigie dalali Edu ana funguo namba zake 0765599808.Chumba kimoja ama viwili na sebule laki 3?
Mkuu nimeku PM
Mkuu nahitaji viwili