Mbegu za miti kama ya Christmas tree

Mbegu za miti kama ya Christmas tree

jashmoe32

JF-Expert Member
Joined
Dec 4, 2012
Posts
1,099
Reaction score
438
Habari za siku wajumbe,samahan ila nlikua naulizia sehem wanapouza ile miti kama ya Christmas na gharama yake ni sh ngapi?
Ntashukuru nikijulishwa
 
Nilipoona neno "mbegu" nilikuja kasi balaa.

Anyway, nenda zile sehemu za vitalu vya miche ya miti utapata.
 
Nilipoona neno "mbegu" nilikuja kasi balaa.

Anyway, nenda zile sehemu za vitalu vya miche ya miti utapata.

Yaani tatizo lako unawaza kuleeeeeeeeeeee tuu...hebu punguza tuwe na akili za mambo mengine jamani...
 
Wajumbe ina maana hamna hata mtu anaejua wanapouza hizo mbegu za Alpine tree au Post yangu haina umuhimu?
 
wewe uko wapi kama Dar nenda kwa wauza maua mie nilinunua miaka ya nyuma tena inaota vizuri ila bei kwa sasa sijui
 
Back
Top Bottom