CHAI CHUNGU
JF-Expert Member
- Feb 20, 2012
- 7,113
- 946
Natanguliza shukrani na nnatambua uwepo wenu hapa ndani,na ni matumaini yangu kwamba mtanisaidia.
Napenda kujua bei ya hizi gari(imported price)siyo zilizopigwa vumbi la barabara za bongo.
1.Noah old model 4WD(1997-2000)
2.Verossa.
Sitaki za mikononi,nataka ambazo zimeingia(imported)becouse nataka kuzifanyia biashara(kuziuza)pia.