wakyagara wakinyora
JF-Expert Member
- Jan 1, 2013
- 735
- 288
Kwa anayehitaji,nauza kiwanja,kiko mbezi-tangibovu(samaki),kina hati halali,fence,maji na umeme-tshm 280 million but negotiatable.serious buyers naomba mni pm,kabla ya kununua,mnunuzi atapewa copy ya hati ili aende akajiridhishe popote pale atakapoona panamfaa,akisharudhika kwamba ni halali basi tunaweza ongea biashara.pia kama kuna mtu yeyote atakayefanikisha uuzaji wa kiwanja hiki(atakayeleta mteja atapata zawadi ya tshs million moja cash.
mtu aliye serious ani pm-only serious buyers
mtu aliye serious ani pm-only serious buyers