Jamani nahitaji kiwanja maeneo ya bunju A, au B na maeneo ya jirani atleast sqm 600 na kuendelea au 20*25 mwenye nacho anicheki kwa PM au 0656299246,
hii ni serious na ni urgent wakuu
wAKUU kuna watu humu JF wanapenda sana sifa mtu anaweka bandiko au ana reply then ukimtafuata ana kaa kimya, unajifanya unacho kiwanja kumbe ni dalali tu yaani kuna watu wanaboa sana......