mie nina meno ya tembo waliokufa vipi unataka nikuuzie?
Nini factor ya kuuza bei hiyo..?? Uzito au aina ya simu au uzamani au ukisasa wa simu..??Nanunua simu zilizokufa, simu 100 sh. 40,000. Mwenye nazo niandikie msg.
Ni kweli ukisemacho, lakini... Nani wa kukaa na simu 100 mbovu..??? Halafu simu 100 uuze kwa Tshs. 40,000/- and then all of the sudden uzungumzie maendeleo kwenye hiyo makitu..!!! Hell no, acha tu tuchekeshe na visichekeshe...Hii ndio sababu moja watanzania hawaendelei. Kila kitu wanafanya utani, halafu kibaya zaidi utani wenyewe hauchekeshi wala kufurahisha! Kama we hutaki hela wenzako walio serious watahitaji dili kama hii. Dah watu wengine bwana
Ni kweli ukisemacho, lakini... Nani wa kukaa na simu 100 mbovu..??? Halafu simu 100 uuze kwa Tshs. 40,000/- and then all of the sudden uzungumzie maendeleo kwenye hiyo makitu..!!! Hell no, acha tu tuchekeshe na visichekeshe...
Nadhani humu JF kuna mafundi wa simu ambao wana simu za zamani au za muda wowote ambazo zishakufa. Au watu wanaofahamiana na mafundi simu pia wanaweza jua au watu wanaojihusisha na biashara ya scrap au tu mtu yeyote ambaye yuko sharp anajua changamkia pesa anaweza akapita kwa mafundi simu akazikusanya then akaniuzia. Whatever it is, mtu mwenye akili ya kuchangamkia opportunities anaweza changamkia hii. Na mimi nimeiweka humu ili watu wa namna hii wanitafute tuiendeleze nchi yetu kwa kupunguza uchafu wa kielectronic katika nchi hii.
Haya tupe dili, ukishazikusanya unazifanyia nini..?? Au kama na wewe unakwenda kuuza unauza kwa namna ipi..??