Ninataka modem ya zantel iwe na memory space ndani kwa anayeuza bei chee nije niichukue popote Dar au tubadilishane na Modem ya vodacom ,picha hizo hapo chini 0716282670
ina vyumba vinne vyote self ina eneo kubwa ndani hata gari kumi zinaweza kupark,ipo kwenye fensi na ipo njiani.
ipo nyakato national nyia ya kwenda Loreto sec.
ni pm kama unahitaji.bei sh...
Ninauza laptop aina ya DELL INSPIRON N5050(PICHANI). PROCESSOR - 1.60GHZ. RAM - 4GB. HARD DISK - 300GB. Pia Ina WEB CAM. WINDOWS7. Charge inakaa masaa 3 hadi 4. toka inunuliwe ina mwezi mmoja...
Ipo Salasala/Kilimahewa.Ina vyumba vitatu vya kulala, sebule kubwa, dining, stoo, vyoo viwili. Maji ya uhakika na kuna reserve tank ya lita 2000. Kwa mwezi 350,000 maelewano yapo kwani nyumba ni...
SIZA AGROPROCESSING NI KAMPUNI UNAYOJISHUGHULISHA NA USINDIKAJI WA NAFAKA NA UFUGAJI NA UZALISHAJI WA KUKU WEUSI WA MALAWI,KWA WANAOHITAJI HUDUMA ZETU TUWASILIANE TUANZE KUFANYA BIASHARA. kWA SAS...
Habari wanabodi
Kwa wale wafanyabiashara ya mitandao hasa M-PESA nina line ya Head office Till (Wakala mkuu)inauzwa kwa anayehitaji anione au nitumie pm
Asanteni!!!!
Updates
Imebaki...
Natafuta Piki2 Iwe Aina Ya Sanlg, Fekon Au Boxer Ambayo Haijatumika Zaid Miez 6 Na Isiwe Na Tatizo. Niko Kibaha Kama Ipo Weka Picha Yake Hapa Na Bei Yake Kwa Mawasiliano 0684061951. Ukiwa Tapeli...
tunatoa huduma za kutengeneza website kwa wale wenye biashara, makampuni na hata watu binafsi. pia tunatengeneza softwares(computer programs) kwa ajili ya vitu mbalimbali kama school management...
On sale Samsung galaxy s4's GTi9500 which are
Original
All accessories included
New phones
You dont have to daught about the products
cause we are sure of our products na utahakikisha kwa...
Ninauza RICE COOKER ni mpya kabisa na unaweza kupikia wali kuanzia robo kilo hadi kilo 6 inapika yenyewe huku ukiwa unaendelea na kazi nyingine ikiivisha inajizima na wali unakua mtamu zaidi ya...
Je unahitaji Msaada wa kazi zako za kiofisi, Taaluma au Biashara?
Document Proof Reading, Excel Data Entry, English-Swahili Translation (TUKI Swahili Certified), Subtitles Writing, Documentary...
On sale Samsung galaxy s4's GTi9500 which are
Original
All accessories included
New phones
You dont have to daught about the products cause we are sure of our products na utahakikisha kwa...
4G LTE broadband is the fastest mobile data service in the world. This state-of-the-art, superfast, high-quality and reliable service is brought to Dar es Salaam for the first time by Smile. Get...