website design and software development

website design and software development

Sheeba

Member
Joined
Sep 16, 2013
Posts
23
Reaction score
12
tunatoa huduma za kutengeneza website kwa wale wenye biashara, makampuni na hata watu binafsi. pia tunatengeneza softwares(computer programs) kwa ajili ya vitu mbalimbali kama school management software na nyinginezo kulingana na mahitaji yako.
hii hapa ni moja ya kazi zetu. Tours and safaris . Bei zetu ni nzuriiii kama kazi zetu.
Karibuni
kwa mawasiliano zaidi PM au email; info@jscglobal.co.tz
 
mmmmh kama hii ndiyo sample site basi kazi ipo maana inaonyesha bado mnaitaji kujifua kwenye web designing ndugu zangu.
 
Back
Top Bottom