Toyota Spacio (2000) kwa 7.5 Mil, 0658455120

Toyota Spacio (2000) kwa 7.5 Mil, 0658455120

mimituu

Member
Joined
Nov 5, 2012
Posts
61
Reaction score
0
Ni gari nzuri, nimeitembelea mwenyewe kwa mwaka mmoja na nusu. Imported direct from Japani.
 
Niko intersted, weka picha za parts tofauti tofauti. Limetembea KM ngapi? Kwa nini unaliuza?
 
Naiuza kwa sababu nataka nibadilishe gari, nataka niagize gari nyingine kubwa kidogo (Harrier).
 
Weka picha lilivyosasa siyo kutuwekea picha nyingine au na wewe ni dalali?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom