Mimi mataka nyumba ya kukodi kwa muda wa mwezi mmoja, lakini iwe na chumba na sitting room, choo na jiko, maeneo yawe mikocheni, mwenge, sinza naciwe ni ya kujitegemea pia iwe furniture fully, bei isizidi laki 5, 0657690970
Nadhani nimeeleza kuwa nataka chumba na sitting room, jiko na choona iwe na fully furniture nahitaji nyumba kwa ajili ya mgeni ambae anahitaji kukaa mwezi mmoja tu
karibu makongo juu kiongozi..
ipo ya vyumba viwili with màster room, sebule, na korido,,ndani ya geti, na ni karibu na barabara...
ni nzuri, tiles...
ila ni kwa laki mbili tu..ipo wazi mkuu tuwasiliane hapa 0715 547184
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.