Anayehitaji line ya M-PESA H/O TILL ninayo

Anayehitaji line ya M-PESA H/O TILL ninayo

Domy

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2011
Posts
4,700
Reaction score
1,090
Habari wanabodi

Kwa wale wafanyabiashara ya mitandao hasa M-PESA nina line ya Head office Till (Wakala mkuu)inauzwa kwa anayehitaji anione au nitumie pm

Asanteni!!!!

Updates

Imebaki line moja kati ya mbili zilizokuwepo anayehitaji tuwasiliane haraka kabla hujachelewa!!!!!
 
Habari wanabodi

Kwa wale wafanyabiashara ya mitandao hasa M-PESA nina line ya Head office Till (Wakala mkuu)inauzwa kwa anayehitaji anione au nitumie pm

Asanteni!!!!

Taja bei yako kabisa hapa, ili nisisumbuke bure.
 
mimi naitaka ni bei gani ?naomba mawasiliano yako mkuu
 
Mkuu nahitaji hiyo TILL nitajie bei ili nijue tunafanyeje,naomba mawasiliano yako ya simu ili iwe rahisi kukupigia!!!!!
 
Biashara kichaa hizi..you need to be careful before embarking to it..
 
Back
Top Bottom