Wahi Laptop inauzwa, bado mpya,bei rahisi(picha)

Wahi Laptop inauzwa, bado mpya,bei rahisi(picha)

lwampel

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2011
Posts
249
Reaction score
55
Ninauza laptop aina ya DELL INSPIRON N5050(PICHANI). PROCESSOR - 1.60GHZ. RAM - 4GB. HARD DISK - 300GB. Pia Ina WEB CAM. WINDOWS7. Charge inakaa masaa 3 hadi 4. toka inunuliwe ina mwezi mmoja na siku kadhaa. bei ni 450,000/=( laki nne na nusu tu) Kwa mawasiliano unaweza kunipata kupitia 0752490238. sms pia zitajibiwa.. WAHI HARAKA, MZIGO UKO POA SANA haina tatizo lolote!.
 

Attachments

  • Image001.jpg
    Image001.jpg
    141 KB · Views: 293
  • Image003.jpg
    Image003.jpg
    202.9 KB · Views: 279
  • Image005.jpg
    Image005.jpg
    139.5 KB · Views: 253
  • Image006.jpg
    Image006.jpg
    149.8 KB · Views: 226
  • Image007.jpg
    Image007.jpg
    86.8 KB · Views: 217
Kwa jinsi unavyokaribisha nakuwa na walakini ila kila la heri
 
poa mkuu nimekusoma, mzigo unaonekana upo bomba lakin vp bei haipungui?
 
poa mkuu nimekusoma, mzigo unaonekana upo bomba lakin vp bei haipungui?
Mkuu yani mpaka hapo bado unataka upunguziwe!? but sio kesi, kama vipi tuwasiliane kwa namba hizo hapo juu..
 
pande za kanda ya ziwa mzigo ninaweza kuupataje?
 
Ninauza laptop aina ya DELL INSPIRON N5050(PICHANI). PROCESSOR - 1.60GHZ. RAM - 4GB. HARD DISK - 300GB. Pia Ina WEB CAM. WINDOWS7. Charge inakaa masaa 3 hadi 4. toka inunuliwe ina mwezi mmoja na siku kadhaa. bei ni 450,000/=( laki nne na nusu tu) Kwa mawasiliano unaweza kunipata kupitia 0752490238. sms pia zitajibiwa.. WAHI HARAKA, MZIGO UKO POA SANA haina tatizo lolote!.

Bado ipo? Kama bado ipo kula mia tatu na hamsini muda huu!
 
Bado ipo? Kama bado ipo kula mia tatu na hamsini muda huu!
Mzigo bado upo, lakini kwa hela iyo upo chini sana ukilinganisha na mzigo wenyewe, kama vp ongeza hela tufanye biashara.
 
Mzigo bado upo karibuni wadau, kama unaitaji nicheki kwa namba 0752490238..
 
Wakuu hiyo mashine hapo juu imeshauzwa, lakini zipo nyingine.. nitazileta soon!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom