Nyumba inapangishwa

Nyumba inapangishwa

mwananyiha

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2008
Posts
248
Reaction score
43
Ipo Salasala/Kilimahewa.Ina vyumba vitatu vya kulala, sebule kubwa, dining, stoo, vyoo viwili. Maji ya uhakika na kuna reserve tank ya lita 2000. Kwa mwezi 350,000 maelewano yapo kwani nyumba ni yangu. Mawasiliano ni 0712232849
 
Na ni nzuri kwa wale wanaohamia toka mikoani tunaweza kuelewana nikamwachia na vitu vya ndani
 
Bado ipo sokoni kwa aliye na uhitaji wa nyumba awahi
 
Bado ipo so
koni kwa aliye na uhitaji wa nyumba awahi
 
Hongera mkuu ila pesa ni nyingi sana hiyo lo ungepunguza kidogo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom