Tafathali mwenye kuweza kunisaidia kupata chumba kimoja tu cha kupanga mjini arusha ili niwe nafikia niendapo kibiashara ntashukuru.madalali pia humu janvini nisaidieni,napendelea kwa mromboo...
Wakuu mambo vipi nina s3 mpyaa kwenye boksi laki6, s4 mpyaaa kwenye boksi laki8, s4-mini laki6 na note 2 laki 750 iphone 4s kwa 500 with ios7 na iphobe 4 laki450 with ios 7 ur mostly...
Nyumba kwenye picha iko Pwani, Manispaa ya Kibaha, Bokotimiza (kilomita 4 toka Tumbi Hospital ina vyumba 4, iko kwenye ekali 2, umeme uko karibu sana pamoja na maji ya kuvuta, Kuna miti ya matunda...
hellow wanajamvi blackkberry bold 9900 inauzwa ipo vizur kihali ime2mika miezi 6 tuu kila k2 knafanya kazi vzur internet una2mia bila kujiunga na vifurushi maalumu vya blackberry yaaan ina2mika...
WanaJF habari zenu,Mwenzenu nimepata Matatizo hivyo ninauza Shamba langu lenye ukubwa wa hekari 2.5 lililoko Kigamboni eneo la Buyuni.Shamba liko Salama halina Mgogoro wowote ni langu binafsi na...
Ujasiriamali imekuwa ni ndoto ya watu wengi hasa wanaapoona mafanikio ya baadhi ya
wajasiriamali na wafanyabiashara.
karibu katika blogu yangu ambapo inauelezea ujasiriamali kwa undani zaidi na...
Potjie COOKING COMPETITION 2013
WORLD FOOD DAY
FARMERS MARKET
AT GODEN TULIP HOTEL ON 19TH OCTOBER
Shindano la kupika kwa kutumia chungu cha Potjie(Chungu kidogo cha kupikia...
Samsung Galaxy S4 , model GT-I9500 version 4.2.2. Manufactured in May 2013, black in colour. With travel adaptor, stereo headset and data cable.
Mwenye laki saba za kibongo ani pm fasta.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.