Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Kama una nyumba inayojitegemea yenye vyumba 2 na sebule, maeneo ya changanyikeni ama makongo juu ni pm bei yake na malipo yawe miezi sita.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nauza simu yangu Nokia Asha200.Imetumika mwezi mmoja ni nzuri sana.Bei Tsh.90000 tu.sms au piga Namba hizi:0719271039 or 0768956564.Maelewano yapo.
0 Reactions
1 Replies
975 Views
Samsung tab 3, 7 inches for sale new brand in tanga 1050000 shs.contact 0787103846.
0 Reactions
1 Replies
932 Views
Nyumba ya vyumba vitatu,sebule ya kupumzikia,sebule ya kulia chakula,jiko,choo,bafu na store inauzwa kimara mwisho - ghorofani,njia ya kwenda bonyokwa,jirani na makaburi. bei ni 35,000,000. Kwa...
0 Reactions
1 Replies
859 Views
habari wandugu ...nina mdogo wangu aliresign kwa mnkoloni na kulipwa tumafao twake kama 15m, na aliniuomba nimtafutie fremu ili aanzishe biashara!Nilianzia maeneo ya...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Tablet galaxy note 10.1 gb 16, ambayo inapiga cm, na inameza memorkad, 3g, camera, iko full na chaja yake mpyaaaa kabsaaa tsh 600000. Warranty mpaka unaibiwa.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Bei mil 11 mwaka 2003 kwa muhitaji maelewano yapo PM kwa mawasiliano zaidi
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari zenu wadau nahitaji iPhone 4/4S au 5 used iwe kwenye hali nzuri bajeti yangu ni 350 inaweza kuongezeka kulingana na hali ya simu.
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Nahitaji pikipiki aina ya boxer bm 100 ama 150, ama honda zilizoingia sasa engine capacity 125. Bei isizidi 800,000. Kama unayo ni pm mara moja. Ni mkazi wa ilala dar.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Nahitaji pikipiki aina ya boxer bm 100 ama 150, ama honda zilizoingia sasa engine capacity 125. Bei isizidi 1,000,000. Kama unayo ni pm mara moja. Ni mkazi wa ilala dar.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
nahitaji shamba la kukodi eka 200 mpaka 500
0 Reactions
1 Replies
1K Views
NYUMBA IMEPATA MNUNUZI NA KUUZWA LEO NYERERE DAY. kWA WALE AMBAO WANAHITAJI NYUMA YA KUNUNUA KWA BAJETI KAMA HIYO WANAWEZA KUWASILIANA NAMI KWA NAMBA HIYO HAPO JUU. ASANTENI SANA
3 Reactions
4 Replies
2K Views
Wadau, kuna vyumba kwa ajili ya wanafunzi University of Iringa (Tumaini University). Vyumba ni self contained, maji na umeme. Nyumba ina maji na umeme na imezungushiwa uzio na kuna mlinzi wa...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Ninauza Samsung tablet 2, 7inches, Model number GT - P3100 Bei ni laki 5 na nusu. Nipo Arusha. Contacts; 0786-305664
0 Reactions
0 Replies
632 Views
:A S new::A S new: 3 ROOMS, MASTER BEDROOM, JIKO, SEBULE, ina fence, nyumba ina TILES, 0776 000084
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Ninahitaji Appartmnt ya kupanga Dar es Salaam kwa muda wa mwezi wa 11 kwa Shilingi 500,000/-. Maeneo ya K/Nyama, Makumbusho/ Mikocheni A or B/ Oysterbay/ Msasani or Upanga. Iwe furnished tafadhali.
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Ni mpyaaaaa kabisa aina ya olympus no.u-7010 Optical zoom 5.0-35.0mm' 12 megapixel made in indonesia designed by Olympus in Tokyo...bei ya kutupwa nitafute 0689545870...sina hela thats why naiuza...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wana Jf, nina kiwanja Iringa mjini kina ukubwa kama wa Hekari moja. Nataka nikipime na nikate hati. Kwa anayefahamu itanicost Tsh ngapi, kukifanyia vipimo na kukata hati chote. Mchango...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Model: Samsung 530U3BI Processor: intel(R) Core i5 - CPU @1.60GHz (4 CPUs) Ram: 4GB HDD: 160GB Battery life: 5 hours Location: Sinza Dar Condition: used but not in Tanzania...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Kipo kihonda kwa chambo. Ukubwa 600sq kina hati kimepimwa. Huduma ya maji ipo, umeme upo. Ipo barabaran. Na kutoka barabara kuu ya dodoma km 3. Bei maelewano. Contact. 0715500248
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Back
Top Bottom