Nauza rav 4

Nauza rav 4

ligimilo

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2012
Posts
301
Reaction score
75
Nauza Rav 4 ya milango mitano, ya mwaka 2008, imetembea KM 160,000, ya rangi nyeusi, bei Tshs 9,000,000/=. If interested ni PM
 
Ni kill time kwa maana injini ni D4? Utuwekee picha mkuu!
 
mkuu weka picha...
and toa specification za gari lako..
 
Wakuu kuna typing error kwenye uzi wangu wa awali, usahihi ni kuwa, hii ni gari ya mwaka 1998 na si 2008, ni rav4 old model
 
Picha kiongozi ili tuweze kufanya biashara vizuri. Na je ni ya Diesel au Petrol.
 
Weka Picha na Jiko lake!

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Hapo sawa, manake nilipocheki 2008 na bei 9M kidogo niseme unataka kutuuzia mbuzi kwenye gunia!!!!!

Na kwa mwaka huo alioweka mwanzoni nikajua ni kilitime kwa jina la mtaani, na kwa hiyo injini yake kibongo bongo ni usumbufu tupu!
 
2008 siyo kilitime mkuu, hiyo ni new model na bei yake ni mpaka 35!
 
duh jamani na mimi nauza DUET MBILI, zote ni namba B moja ya 2000 na nyingine ni 2001, moja imetembea 140,000 NA NYIngine 149,000 whit na silver, nauza bei karibia na bure, serious buyers niPM nikutumie picha, bei ya mwisho ni 3.9m, zinatembea na consumption ni almost 13-14km/L
 
CC: CYBERTEQ
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom