Nokia lumia 900 imepotea

Nokia lumia 900 imepotea

Akthoo

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2007
Posts
1,066
Reaction score
1,146
waungwana nimepoteza katika mazingira ya kutatanisha nokia lumia 900 mpya,rangi ya bluu ;made in korea.from usa. Kwa yeyote atakae iona tafadhali tuwasiliane!
 
Duh,mkuu hivi unadhani siku hizi bado kuna waungwana wa namna hiyo?.,bora utafute tu Nokia ya tochi maisha yaendelee.
 
aaaah, umeumia mzee!! Kwa kifupi sahauuu,..
 
katika vitu vikipotea sahau, simu, laptop, camera, wewe tafuta yutong kariako simu ina radio tv tochi endelea na maisha acha kupoteza wakati hata mimi nikiokota sikurudishii maana nimepoteza nyingi! kunasiku nilipoteza blackberry stom smart phone 9550 nilikuwa nayo wikitu nikaenda uhuru park ile kuamka na kushangilia ikadondoka wala sikumuuliza mtu maana mtu nyomi inashangilia mpira unamwuliza nani?
 
kaitrace kwenye website ya windows phone kama aliyeiokota ni mbulula utaipata.

nenda windowsphone.com kalogin na acount yako uliyoitumia kwenye simu halafu nenda huduma ya find my phone
 
Upo wapi Madina au Makka?au Oman?kama uko kwenye moja ya nchi hizo basi nenda police utaikuta simu yako,Ila kama upo hapa hapa Bongo then forget it,nadhani ungeomba kwamba aliyeiokota akuletee ili uinunue upya ata kwa 30% ya bei yake halisi.
 
waungwana nimepoteza katika mazingira ya kutatanisha nokia lumia 900 mpya,rangi ya bluu ;made in korea.from usa. Kwa yeyote atakae iona tafadhali tuwasiliane!
Tafuta mganga mzuri hiyo simu itaitia tumboni kwa mwizi then atairudisha mwenyewe!
 
kaitrace kwenye website ya windows phone kama aliyeiokota ni mbulula utaipata.

nenda windowsphone.com kalogin na acount yako uliyoitumia kwenye simu halafu nenda huduma ya find my phone

This sounds logical and scientific.
Its definitely worth a try
 
katika vitu vikipotea sahau, simu, laptop, camera, wewe tafuta yutong kariako simu ina radio tv tochi endelea na maisha acha kupoteza wakati hata mimi nikiokota sikurudishii maana nimepoteza nyingi! kunasiku nilipoteza blackberry stom smart phone 9550 nilikuwa nayo wikitu nikaenda uhuru park ile kuamka na kushangilia ikadondoka wala sikumuuliza mtu maana mtu nyomi inashangilia mpira unamwuliza nani?

Pole mkuu. Umejifunza somo tamu kweli am sure huwezi rudia tena
 
Duh,mkuu hivi unadhani siku hizi bado kuna waungwana wa namna hiyo?.,bora utafute tu Nokia ya tochi maisha yaendelee.

Katika 10 walau 1 au 2 wapo waungwana kaka.
Tatizo ni hao 8 waliobakia. Usiombe iwe imewadondokea hao
 
waungwana nimepoteza katika mazingira ya kutatanisha nokia lumia 900 mpya,rangi ya bluu ;made in korea.from usa. Kwa yeyote atakae iona tafadhali tuwasiliane!

Kaka pole sana. Cha msingi jaribu ushauri wa chief mkwawa
 
Isije kuwa imeibiwa na wale wataalamu wa mitaa ya Sinza Mori au Ambiance,kwani wengi hulewa wakipata viburudisho vyao ,hapo ndipo ''wataalamu''wanapofanya vitu vyao
 
Nawashukuru wote mliochangia; Big up Cheif Mkwawa; Nimefarijika kwamba kuna watu wanajali.
 
kaitrace kwenye website ya windows phone kama aliyeiokota ni mbulula utaipata.

nenda windowsphone.com kalogin na acount yako uliyoitumia kwenye simu halafu nenda huduma ya find my phone

mkuu unatakiwa upewe chet cha JFCC(JAMII FORUMS COMPUTING CERTIFICATE) manake kwenye haya mambo da we ni mzma aseeee!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom