natafuta mfanyakaz wa kazi za ndani.

natafuta mfanyakaz wa kazi za ndani.

Bakulutu

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2011
Posts
2,596
Reaction score
1,865
Wa umri wowote especial mwanamke hata kama ana mtoto, maslahi mazuri na kazi sio nyingi.
Sehemu ya kazi sio mjini ila ni sehemu ya kati,malazi,kula n.k ni juu ya mwajiri na uhuru wa kutosha kabisa.
0715812160
 
Yupo ila yeye anataka kua anarudi home jion vp inawezekana mkuu?

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Sidhan kama itawezakana mkuu kwan ni mkoani.
 
nitumie vocha kwe inbox yangu ili nikupigie nikuunganishe naye.tuma airtel.
 
haya sasa ni makubwa mfanyakazi wa ndani? ama kweli shimbonisha
 
Habarini wapendwa,
Mimi ni mkazi wa moshi,Kilimanjaro nilikuwa nahitaji mfanyakazi wa ndani ambaye atakuwa tayari kufanya kazi za ndani,nahitaji awe mpole mwenye upendo na heshima awe muislamu.Kuhusu mshahara atataja yeye mwenyewe ni kiasi gani anahitaji,pamoja na maslahi yote anayopaswa kupewa binadamu.Kwa mawasiliano zaidi tuwasiliane kupitia namba 0754883040 AU 0714342587.Asanteni wapendwa.
 
Wa umri wowote especial mwanamke hata kama ana mtoto, maslahi mazuri na kazi sio nyingi.
Sehemu ya kazi sio mjini ila ni sehemu ya kati,malazi,kula n.k ni juu ya mwajiri na uhuru wa kutosha kabisa.
0715812160

Mkuu mimi ninaweza kuja kukufanyia kazi.
Ili mradi mkeo/mumeo asiwe mkorofi.
Mshahara tutapanga nikija.
Nina upendo kwa kila mtu.
Naomba unichague.
 
Habarini wapendwa,
Mimi ni mkazi wa moshi,Kilimanjaro nilikuwa nahitaji mfanyakazi wa ndani ambaye atakuwa tayari kufanya kazi za ndani,nahitaji awe mpole mwenye upendo na heshima awe muislamu.Kuhusu mshahara atataja yeye mwenyewe ni kiasi gani anahitaji,pamoja na maslahi yote anayopaswa kupewa binadamu.Kwa mawasiliano zaidi tuwasiliane kupitia namba 0754883040 AU 0714342587.Asanteni wapendwa.

Kazi kwelikweli, kana kwamba alingoja mtu aanzishe naye adandie...haya baba wamekusikia!
 
Habarini wapendwa,
Mimi ni mkazi wa moshi,Kilimanjaro nilikuwa nahitaji mfanyakazi wa ndani ambaye atakuwa tayari kufanya kazi za ndani,nahitaji awe mpole mwenye upendo na heshima awe muislamu.Kuhusu mshahara atataja yeye mwenyewe ni kiasi gani anahitaji,pamoja na maslahi yote anayopaswa kupewa binadamu.Kwa mawasiliano zaidi tuwasiliane kupitia namba 0754883040 AU 0714342587.Asanteni wapendwa.

kwani ungeanzisha uzi wako kungekuwa na tatizo?
 
Maelezo yako hayajitoshelezi, ni vyema ukaweka wazi umeoa/kuolewa , una watoto wangapi na wana umri gani

Sent from my BlackBerry - jamiiforums
 
Back
Top Bottom