Ajent/supplier wa tairi Iringa

Ajent/supplier wa tairi Iringa

Mkwai

JF-Expert Member
Joined
Feb 29, 2012
Posts
306
Reaction score
96
Habari, kuna jamaa yangu anahitaji tairi za 750 kwa 16, eneo la jirani kupata huduma hiyo ni Iringa mjini. Kwa anaemjua wakala alieyeko Iringa tafadhari naomba contacts zake.
 
Habari, kuna jamaa yangu anahitaji tairi za 750 kwa 16, eneo la jirani kupata huduma hiyo ni Iringa mjini. Kwa anaemjua wakala alieyeko Iringa tafadhari naomba contacts zake.

Anahtaji tairi ngapi?
 
Mwambie apandishe juu aende barabara ya uhindini ataona duka la DON INVESTMENTS nina imani hapo atapata
 
Back
Top Bottom