Vyuma vya kupanga self continer in moro town

Vyuma vya kupanga self continer in moro town

usengwile

Senior Member
Joined
Sep 7, 2013
Posts
133
Reaction score
47
Natafuta mpangaji wa kupanga. Nyumba iko sabasaba karibu na mawenzi. Vyumba 2 vya kulala chumba kimoja ni master bedroom choo ndani. Sebule kubwa na korido ambayo ni jiko. Mawasiliano 0718600001
 
wabongo bana, muda wote ni kuangalia makosa tu na sio ujumbe,
ukiwa serious unahitaji twanga simu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom