Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Kiwanja kinauzwa kiko mbweni JKT kinaukubwa wa 1452 sqm. Kina hati na kipo mita 300 kutoka ufukwe wa bahari. Kina huduma ya maji tayari kwa ujenzi pia nitambarare. Bei inaanzia 150 milioni na...
0 Reactions
0 Replies
584 Views
katika dunia hii na ikiwemo hapa nchini mtu hukamilisha maisha yake kwa kutafuta mahala pa kuishi nikimaanisha huhangaika huku na huku ili mwisho ajenge nyumba yake,.....! lakini mwisho wa siku...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hello, Nauza laptop yangu nimeitumia kwa wiki mbili sasa. Ni Apple Macbook Air 13". Bei USD 1200. Serious buyer PM. Thanks
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Jamani kiwanja kinauzwa urefu miguu 22 upana miguu 20 bei mil3.2 milion tatu na laki mbili kipo salasala mwisho wa lami km 2 toka bagamoyo road kama unatoka tegeta kwenda mwenge ama una toka...
0 Reactions
0 Replies
863 Views
natafta hyO cm..mwnye nayo aweke bei.
0 Reactions
0 Replies
649 Views
Jema Africa Limited aggregates crushing plant iliyopo Msata Mazizi inawakaribisha wote wenye ujenzi wa nyumba binafsi au makampuni yanayojihusisha na ujenzi.Tunazalisha kokoto nyeusi zenye viwango...
0 Reactions
2 Replies
6K Views
SAOM INVESTMENT LIMITED BRELA REG,# 73521 PLOTS, FARMS FOR SALE IN BAGAMOYO AND KIGAMBONI. 1. Bagamoyo PLOTS A.Plots zipo Kitopeni,Kilometer 5 toka Bagamoyo mjini,Kilometer 2.5 toka barabara kuu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
An apartment in a high-rise building with sea view having three bedrooms all ensuites, an open kitchen extended to dinning area and living room is for rent furnished located in Kalenga Street...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Heshima mbele wakuu. Natafuta Internet yenye bei nzuri kwa matumizi ya office. Point to point ni nzuri lkn Nipo tyr kupokea ushauri likini nataka unlimited. Yeyote mwenye ushauri please...
0 Reactions
0 Replies
802 Views
Kama kuna mtu anaweza kunisaidia mawazo simu gani nzur ka bei hiyo ,msaada naihitaji sasa
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Iliyotumika iwe katika hali nzuri call 0768642266 au nitumie meseji....
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wajameni katika pitapita mitandaoni nimeiona nissan serena ya 2002,ki ukweli nimeipenda !! Sasa wadau kwa mwenye uzoefu hizi gari tatizo lake kubwa ni nini?
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Habari wanajanvi wenzamgu nauza Nissan navara Year 2005 Speed-220 Fuel consuption km11/litre Gear-6 4wd Km-76253 4cylinder Turbo Na ni INTERCOLIN SYSTEM, Sababu ya kuiuza tuna gari...
1 Reactions
22 Replies
5K Views
toyota land cruise vx .automatic gear.its a good condition.diseal engine.bei 19mil (mazungumzo yapo) tel 0713959290
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Kichwa cha habari cha husika. Nahitaji tisheti 3,moja nyeusi,nyingine rangi ya chai ya maziwa na nyingne nyeupe. Moja iwe na picha ya zitto kabwe, nyingne picha yangu nikiwa nimevaa ile kofia ya...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Hajamaliza hata wiki! bado ipo kwenye box Warant 12+1 monthy Ni emergency tu haina tatizo lolote mwenye nia piga 0684624188 Nipo arusha
0 Reactions
0 Replies
997 Views
Wapendwa, Ndo kwanza imeingia nchini, KM 59000, 4WD, 4 speed, kama una interest nilushie mail: ishenyaka@gmail.com; bei mil. 7.5 tu
0 Reactions
6 Replies
2K Views
ipo katika hali nzuri bei ni 130,000Tsh . kwa anayehitaji tuwasiliane kwa no.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
habarini za majukumu wanajamvi jamani nahitaji ushirikiano wenu pamoja na ushauri wenu kama kuna mtu anafahamu eneo ambalo linafaa kufungulia stationary kwa maeneo ya dar please naombeni...
0 Reactions
0 Replies
733 Views
Waungwana nauza Noah yangu imetembe Km 147500 ipo katika hali nzuri na hapa Tz ina mwaka miezi nane Bei kuanzia Milioni Tisa na maelewano yanaruhusiwa.Inapatikana Arusha haijafanya biashara...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Back
Top Bottom