Nyumba yangu ya kuishi.....!

Nyumba yangu ya kuishi.....!

AMAFUMU

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2011
Posts
221
Reaction score
114
katika dunia hii na ikiwemo hapa nchini mtu hukamilisha maisha yake kwa kutafuta mahala pa kuishi nikimaanisha huhangaika huku na huku ili mwisho ajenge nyumba yake,.....!

lakini mwisho wa siku anashindwa kupata nyumba yake sio tu kuwa hana hela bali amekosa washauri halisi juu ya nini akifanye ili aishi kwenye nyumba yake.....!

je wewe ni mmoja wao?......basi waweza kuni PM tukajaribu kukushauri na pengine ukaona tunafaa kuku designia jengo na pengine ukaomba tukujengee......!

ni vijana tu wenye uzoefu na ujenzi na sasa tumeona matunda tuliotengeneza.....!

KARIBU SANA....iwe unataka michoro ya hotel,shule,hosp, nyumba ya kuishi, maduka, apartment ili hali inahusu ujenzi basi huduma zetu utaweza kuzifurahia.......!
 
mkuu unashughulika na uchoraji wa majumba na mijengo?
 
Back
Top Bottom